Kwa wale watakaofukuzwa kazi

Mijadala imepamba moto mitandaoni kuhusiana na vyeti feki na agizo la kuwafuta kazi maramoja , pressure ni kubwa watu na watu wamechanganyikiwa wakifikiri wataanzaje kurudi kijiweni huku changamoto za maisha zikiwakabili
Rafiki huna haja ya kupaniki, kila jambo na majira yake.. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya
Ni wakati wa kusimama imara na kuanza upya, kuangalia fursa zilizopo ...kila jambo hutokea kwa sababu maalum.... Kwa wale waaminio Mungu hawezi kukufungia milango yote. Ni kiasi cha kutulia na kuona mlango wako ulipo
Ni kati ya watakaofukuzwa ndio watakuja kuwa matajiri wa baadae viongozi na hata watu wenye vipawa mbalimbali, maigizo na sanaa muziki na utunzi, wakulima wenye mafanikio na wafugaji wa kupigiwa mfano
Ni wazi ulikuwa na kitu cha ziada akilini mwako very unique cha kipekee mno.... Lakini kibarua cha utumwa wa kutumikishwa kazi nyingi zenye ujira usiokidhi mahitaji, viliminya kipawa chako cha biashara
Cha kilimo
Cha muziki
Cha sanaa mbalimbali
Cha ufugaji
Cha ubunifu mbalimbali
Cha uandishi na utunzi
Fursa imekuja sasa itumie vema, ni wakati wako sasa.. Hutakuwa tena na majuma yenye kuchosha.... Kudamka alfajiri na kukimbizana na muda uwahi kibaruani
Hutakuwa tena na woga wa makaripio na manyanyaso ya bosi mkorofi
Hutakuwa tena na Jioni zenye kuchosha kutokana na kazi tele za mchana kutwa
Wewe sasa ni mpya
Wewe sasa ni mshindi na si mshindwa... Simama imara uondoke kesho yenye matumaini furaha na mafanikio inakusubiri
Ondoka sasa kwa kujiamini
At last your bright future is here.... Dreams can come true
Stay strong and focused

Jr
Well said Mr mshana,ni funzo kubwa sana limetolewa hata kwa wale waliosalimika na sarakasi hizi,waajiriwa Wa mashirika na taasisi mbalimbali kwamba kuajiriwa ni kuwa tegemezi 100%,hufanya uwezo Wa kuwa na fikra za Maendeleo binafsi hufungwa. Sasa ni wakati Wa kuikata minyororo hii. Haijalishi una umri gani tujitahidi kuwekeza katika miradi hata ya Kuku etc
 
Ni sahihi watz tubadilike tusiwe watumwa maisha yetu yote tuwe wabunifu kutengeneza ajira zetu wenyewe
 
Japo hili implementation yake hapa kwetu ni ngumu kutokana na vikwazo vya serikali. Lakini iwe ndio changamoto ya Kuwa imara zaidi ya zaidi
 
duniani tunaishi kwa kutegemea fursa na hao wafanyakazi walitumia hiyo fursa ya vyeti feki na sherekali iliwawezesha kwa kuwa serikali yenyewe imeondoa hiyo fursa maisha yanaendelea kwa kuangalia fursa zingine baada ya hao feki kuondoka kazini je wale waliowezesha mradi wa vyeti feki watachukuliwa hatua gani au wataachwa ili watengeneze mradi mwingine FEKI
 
Mtu hakutarajia, anawatoto anasomesha, anamikopo benki,Nyumba kapanga mwezi ujao anatakiwa kulipa kodi mpya,
Anaishi jijini ambapo kila hatua ni pesa, Huna mradi wowote maana kazi ilikuwa ni ya uhakika hadi kustaafu.

Mungu awasaidie. Maisha yanatakiwa yaende katikati ya changamoto hii.
hao hawana shida ni ndugu wa vigogo au rafiki. Kapuku huwezi kufoji cheti ukapenya utumishi wa umma mpaka kupata ajira. Vyeti vyao vya magumashi vinasindikizwa na vimemo vya kigogo husika huko huko serikarini na kupenya vizingiti vya ajira mpaka kuwapita hata wenye vyeti halali. ANAYEBISHA AMUULIZE/AANGALIE BASHITE ALIVYOPENYA NA ANAVYOSTAWI. SINA HURUMA NAO. Japo tunaletewa viini macho. ni kama pesa zile (EPA) JK alizowaambia wachotaji warudishe bila kufunguliwa shtaka lolote. Hawa wanaambiwa ondokeni makazini bila kufunguliwa mashtaka bila kumtaja kigogo aliekupatia ajira kwa KIMEMO!!
 
hao hawana shida ni ndugu wa vigogo au rafiki. Kapuku huwezi kufoji cheti ukapenya utumishi wa umma mpaka kupata ajira. Vyeti vyao vya magumashi vinasindikizwa na vimemo vya kigogo husika huko huko serikarini na kupenya vizingiti vya ajira mpaka kuwapita hata wenye vyeti halali. ANAYEBISHA AMUULIZE/AANGALIE BASHITE ALIVYOPENYA NA ANAVYOSTAWI. SINA HURUMA NAO. Japo tunaletewa viini macho. ni kama pesa zile (EPA) JK alizowaambia wachotaji warudishe bila kufunguliwa shtaka lolote. Hawa wanaambiwa ondokeni makazini bila kufunguliwa mashtaka bila kumtaja kigogo aliekupatia ajira kwa KIMEMO!!
 
Mijadala imepamba moto mitandaoni kuhusiana na vyeti feki na agizo la kuwafuta kazi maramoja , pressure ni kubwa watu na watu wamechanganyikiwa wakifikiri wataanzaje kurudi kijiweni huku changamoto za maisha zikiwakabili
Rafiki huna haja ya kupaniki, kila jambo na majira yake.. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya
Ni wakati wa kusimama imara na kuanza upya, kuangalia fursa zilizopo ...kila jambo hutokea kwa sababu maalum.... Kwa wale waaminio Mungu hawezi kukufungia milango yote. Ni kiasi cha kutulia na kuona mlango wako ulipo
Ni kati ya watakaofukuzwa ndio watakuja kuwa matajiri wa baadae viongozi na hata watu wenye vipawa mbalimbali, maigizo na sanaa muziki na utunzi, wakulima wenye mafanikio na wafugaji wa kupigiwa mfano
Ni wazi ulikuwa na kitu cha ziada akilini mwako very unique cha kipekee mno.... Lakini kibarua cha utumwa wa kutumikishwa kazi nyingi zenye ujira usiokidhi mahitaji, viliminya kipawa chako cha biashara
Cha kilimo
Cha muziki
Cha sanaa mbalimbali
Cha ufugaji
Cha ubunifu mbalimbali
Cha uandishi na utunzi
Fursa imekuja sasa itumie vema, ni wakati wako sasa.. Hutakuwa tena na majuma yenye kuchosha.... Kudamka alfajiri na kukimbizana na muda uwahi kibaruani
Hutakuwa tena na woga wa makaripio na manyanyaso ya bosi mkorofi
Hutakuwa tena na Jioni zenye kuchosha kutokana na kazi tele za mchana kutwa
Wewe sasa ni mpya
Wewe sasa ni mshindi na si mshindwa... Simama imara uondoke kesho yenye matumaini furaha na mafanikio inakusubiri
Ondoka sasa kwa kujiamini
At last your bright future is here.... Dreams can come true
Stay strong and focused

Jr
Wewe unafanya kazi gani Mangi?
 
To me aliyefikia hatua ya ku-forge cheti alishashindwa. Alifika mahali akakosa options, kutoka kwake ni kugumu sana.
 
Madereva na ma secretary???!!!!!
List umeiona lakini???
Nimeiona ila naona hadi madaktari wamo, mwanzo nilikuwa nasikia vilio kutoka kwa madereva na masecretary.

Kumbe hiki kimbunga kimekumba hadi huko juu juu.
 
Mijadala imepamba moto mitandaoni kuhusiana na vyeti feki na agizo la kuwafuta kazi maramoja , pressure ni kubwa watu na watu wamechanganyikiwa wakifikiri wataanzaje kurudi kijiweni huku changamoto za maisha zikiwakabili
Rafiki huna haja ya kupaniki, kila jambo na majira yake.. Hakuna kitu kinachotokea kwa bahati mbaya
Ni wakati wa kusimama imara na kuanza upya, kuangalia fursa zilizopo ...kila jambo hutokea kwa sababu maalum.... Kwa wale waaminio Mungu hawezi kukufungia milango yote. Ni kiasi cha kutulia na kuona mlango wako ulipo
Ni kati ya watakaofukuzwa ndio watakuja kuwa matajiri wa baadae viongozi na hata watu wenye vipawa mbalimbali, maigizo na sanaa muziki na utunzi, wakulima wenye mafanikio na wafugaji wa kupigiwa mfano
Ni wazi ulikuwa na kitu cha ziada akilini mwako very unique cha kipekee mno.... Lakini kibarua cha utumwa wa kutumikishwa kazi nyingi zenye ujira usiokidhi mahitaji, viliminya kipawa chako cha biashara
Cha kilimo
Cha muziki
Cha sanaa mbalimbali
Cha ufugaji
Cha ubunifu mbalimbali
Cha uandishi na utunzi
Fursa imekuja sasa itumie vema, ni wakati wako sasa.. Hutakuwa tena na majuma yenye kuchosha.... Kudamka alfajiri na kukimbizana na muda uwahi kibaruani
Hutakuwa tena na woga wa makaripio na manyanyaso ya bosi mkorofi
Hutakuwa tena na Jioni zenye kuchosha kutokana na kazi tele za mchana kutwa
Wewe sasa ni mpya
Wewe sasa ni mshindi na si mshindwa... Simama imara uondoke kesho yenye matumaini furaha na mafanikio inakusubiri
Ondoka sasa kwa kujiamini
At last your bright future is here.... Dreams can come true
Stay strong and focused

Jr
wewe una akili sana. ushauri wako ni mzuri kwa shangaz yangu na baba yangu mdogo. wao tayari wameipokea hali na kutumia akiba yao kwenda Gairo kutafuta mashamba ili walime kilimo cha biashara (GREENHOUSE): Wamefanya hivi baada ya kubaini kwamba milango ya kisheria ni migumu kwao maana kosa la kufoji cheti LIMEHARAMISHA MIKATABA YAO YA AJIRA.
 
Back
Top Bottom