JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 475
Naanza na mimi;
1.Uchoyo utaongezeka mara dufu kwa dhana ya kila mtu apambane na hali yake.
2.Uhalifu utaongezeka mtu yupo tayari akutoe koromeo kisa mia.
3.wenye wapenzi zaidi ya 5 watawapunguza kwani hawawezi kuwahudumia.
4.kutakua na vita kati ya wadada wa kazi na boss zao wa kike.
5.Kutakua na stress mwanzo mwisho kwani mvua hazieleweki.
6.Kasi ya ufungaji ndoa itapungua labda njoo tukae.
Karibuni mtuletee utabiri enyi watabiri