Kwa wale wataalamu wa Soka hebu tulichumbue hili goal

Kwa mujibu wa sheria za Fifa hilo sio goli sababu ya uwepo wa mchezaji mmoja tu nyuma ambaye yuko karibu na mshambuliaji wa timu pinzani.

Lakini Manchester united na Barcelona walipewa magoli mengi sana ya dizaini hii miaka ya hapo nyuma kidogo.
 
Off side kabisa iyo huyo beki amekaa nafasi ya kipa na sheria haijamtaja kipa ndo mtu wa mwisho ila imetaja mchezaji tu ina maana haijalishi ni nani akiwa mwisho
Hakuna offside beki ameenda kuziba pengo la kipa syo ni ya sehem ya kuclear ko huwez kusema kwamba hyo ni offside
 
Mambo haya magumu sana.
Wiki 2 zilizopita kuna beki alilala kabisa alitaka adake mpira sema bahati mbaya aliukosa. Hii ilikuwa ni baada ya kipa kutoka eneo lake
Jamani mwaka 2010 Ghana vs Uruguay kwani wakat Suarez anadaka mpira pale alijisacrifice kwamba apewa card nyekundu na penalty ili mrad goal lisiingie?????? Sasa ana haki ipi ya kuudaka mpira
 
Back
Top Bottom