Kwa wale wataalamu wa Soka hebu tulichumbue hili goal

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,271
9,900
Kwa mujibu wa sheria za offside je hii ni offside au sio offside.

Nomba tuanalie hii video.
 

Attachments

  • IMG-20190910-WA0050.jpeg
    IMG-20190910-WA0050.jpeg
    33 KB · Views: 28
  • IMG-20190910-WA0051.jpeg
    IMG-20190910-WA0051.jpeg
    33.3 KB · Views: 32
Hatuwezi kukupa uchambuzi kwa kutumia picha badala ya video. Tungeona picha ya mpigaji huo mpira ndio tungeweza kukusaidia.

Kingine hizo picha zote mbili zinaonyesha aliyesogea toka position moja kwenda nyingine ni m1 tu, hao wengine wapo palepale.
 
Maelezo yake hayo hapo katika mchoro, hiyo ni offside, kumbe wanamaanisha wewe mchezaji ukiwa mbele ya mchezaji wa mwisho huku mbele yako akiwa kabaki mchezaji mmoja(yoyote sio lazima awe golikipa) basi unakuwa upo offside wakati mpira unapigwa!!
IMG-20190909-WA0291.jpeg
 
Hiyo ni clear offside! Sheria inasema kuhusu mtu mmoja wa mwsho(sio lazima awe kipa) huyo beki wa golini amechukua nafasi ya mtu wa mwisho ambae ajavunja offsde.
 
Hiyo ni picha,kwa picha ni offside,ila kwa move ya video siyo offside
 
offside coz sheria inataka atleast wawe wachezaji wawili wamebaki nyuma ikimhesabu kipa the first na yule anaye iua ofside the second... so hapo wangekuwa wachezaj wawili golin ingekuwa onside ila kwa movement hyo ni offside mkuu
 
Off side kabisa iyo huyo beki amekaa nafasi ya kipa na sheria haijamtaja kipa ndo mtu wa mwisho ila imetaja mchezaji tu ina maana haijalishi ni nani akiwa mwisho
nakubariana na wewe hiyo ni clear offside kabisa
 
Off side kabisa iyo huyo beki amekaa nafasi ya kipa na sheria haijamtaja kipa ndo mtu wa mwisho ila imetaja mchezaji tu ina maana haijalishi ni nani akiwa mwisho
Kwa sababu mchezaji amekaa sehem ya kipa, kwa hiyo huyo mchezaji ana haki ya kuudaka mpira kisa amekaa sehem ya kipa?
 
Mambo haya magumu sana.
Wiki 2 zilizopita kuna beki alilala kabisa alitaka adake mpira sema bahati mbaya aliukosa. Hii ilikuwa ni baada ya kipa kutoka eneo lake
 
Back
Top Bottom