Kwa wale wataalam wa simu za Samsung

hamjunior

Senior Member
Nov 4, 2016
102
37
Habari zenu humu ndani nina bajeti ya shilingi laki 3 naweza pata simu gani nzuri na mpya ya kampuni ya Samsung isikose fingerplint
 
Habari zenu humu ndani nina bajeti ya shilingi laki 3 naweza pata simu gani nzuri na mpya ya kampuni ya Samsung isikose fingerplint

Ebu nipe uzuri wa fingerprint kwenye simu. Je simu ikiwa nzuri na ikakosa fingerprint huwezi kuchukua?
 
Kwa bei hiyo nunua saumsug A 11
Screenshot_20201130-101010_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom