niambieni mzizi wa neno ' ALIYETAPISHA' Mi nimkal lkn hil limenishinda, haya karibun kwa majib
Neno hilo lina makosa kisarufi lilipaswa liwe 'aliyetapikisha' kuna mazoea ya kufanya udondoshaji kwa makosa kwa kutoa 'k' hapo mzizi ni -tapik- ndio maana tunapata tapik-a, tapik-i-a, tapik-i-an-a halikadhalika tapik-ish-a. Hapo kwanza. Sarufi ni sayansi haina ukali.niambieni mzizi wa neno ' ALIYETAPISHA' Mi nimkal lkn hil limenishinda, haya karibun kwa majib
Neno hilo lina makosa kisarufi lilipaswa liwe 'aliyetapikisha' kuna mazoea ya kufanya udondoshaji kwa makosa kwa kutoa 'k' hapo mzizi ni -tapik- ndio maana tunapata tapik-a, tapik-i-a, tapik-i-an-a halikadhalika tapik-ish-a. Hapo kwanza. Sarufi ni sayansi haina ukali.
KAMA mzizi ni -tapik-, vipi kuhusu neno matapishi, nako kuna udondoshaji?
tafadhali toa mfano tukuelewe vizuri point yako...Kwa kawaida neno huweza kubadili mofolojia linapohama kategoria mf toka kauli ya kutenda kuwa kutendesha. Kwa neno "tapisha" mzizi ni -tapish- ikumbukwe vitenzi vingi vyenye asili ya kibantu huishia na irabu -a- ktk kitenzi halisi na
ukiondoa hiyo -a-unapata mzizi
Kwa kawaida neno huweza kubadili mofolojia linapohama kategoria mf toka kauli ya kutenda kuwa kutendesha. Kwa neno "tapisha" mzizi ni -tapish- ikumbukwe vitenzi vingi vyenye asili ya kibantu huishia na irabu -a- ktk kitenzi halisi na
ukiondoa hiyo -a-unapata mzizi