Kwa Wale wataaalam wa Mitishamba kama mimi hu ni mti gani?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,477
33,440
10475506_621091451331093_2747234853195695383_n.jpg
 
Mama Mkwe hongera umepata Mashallah umeujuaje kuwa ni Mvuje? Mama mkwe wangu farkhina

Najua sana huo mti mama kapanda nyumbani...

Pia majani yake ni spices nzuri kuweka kwenye bajia,cheuro hata kwa samahi wahindi sana ndio spice yao hiyo...

Hayo majani huanikwa kwanza na kua makavu
 
Last edited by a moderator:
Najua sana huo mti mama kapanda nyumbani...

Pia majani yake ni spices nzuri kuweka kwenye bajia,cheuro hata kwa samahi wahindi sana ndio spice yao hiyo...

Hayo majani huanikwa kwanza na kua makavu
Majani ya Mvuje ni Dawa ya kutibu maradhi mengi tu.Mama Mkwe farkhina
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom