Kwa wale wasiopenda kujikuta wanafanikisha Infidelity...

Tatizo ni kwamba hawezi jua nani yupo tayari kuingia vitani na nani hayuko. Ila bado ni ustaarabu(japo kiduuunchu) kumweleza mtu ukweli akikubali ajue kabisa anachokubali.

Usiwape akili,we acha tuwadanganye wenye tabia hizo hapa, wawe wanasema ukweli,waliotayari na vita waendelee,wasioweza wala kuwa na sababu ya kuingia vitani wasalimike....hii ni vita atiii....lol
 
He he he dearest, umenigusa leo sitapata usingizi, umenigusa haswaaa....lol

Ngoja tupashane siri sasa,tukiwashtukia tunajua cha kuwafanya....lol

Lolzzz. . . pole kama nimekugusa pabaya dearest.

Hehehehe. . . .hawa ingekua inawezekana kuwasweka jela tungewatega makusudi na kuwaweka kwenye selo moja wakomae akili.

Hahahaha kuna moja niliona kwenye TV, girlfriend alienda kumfumania boyfriend wake akamkuta yuko na mke wake. Baada ya kumdanganya kua mke wake alishafariki. Walimchangia hao mpaka akakoma. . . badala ya kuchangiana wao kwa wao.
 
Kaaazi kweli kweli.
Hao wanawake nao sijui niwaweke kundi gani!!!
Lizzy huyu rafiki yangu anaamini mwanamke akishamvulia nguo tu basi anaweza akamwambia nimeoa na huyo nyumba ndogo wala asisitishe uhusiano
 
Inaonekana anajiamini maana anajua aina ya wanawake anaowatokea. Hapo nnaemuonea huruma ni mke tu, hao wengine wote vichwa panzi.
 
Hivi atakuwa na nini mwanamke atakaenifanya nidanganye sijaoa!!! I cant imagine...
 
Lolzzz. . . pole kama nimekugusa pabaya dearest.

Hehehehe. . . .hawa ingekua inawezekana kuwasweka jela tungewatega makusudi na kuwaweka kwenye selo moja wakomae akili.

Hahahaha kuna moja niliona kwenye TV, girlfriend alienda kumfumania boyfriend wake akamkuta yuko na mke wake. Baada ya kumdanganya kua mke wake alishafariki. Walimchangia hao mpaka akakoma. . . badala ya kuchangiana wao kwa wao.

Sasa hao ndo wanawake wenye akili, unamgundua adui yenu ni nani,mnamtengeneza na kumuachia alama kidogo ya ukumbusho,asitende tena upuuzi huo....ipo siku kutakuwa na selo lao tu....!!
 
fedha..
Ata spend fedha nyingi kwako ili usimshtukie.. mfano :- Ukimwambia ya kwamba jua limewaka leo niko free twende beach at least tu
spend time together .ye anakujibu ohhhh hivi sjakwambia kuhusu ile project?? nimeanza kuifanyia kazi leo na itachukua muda , unaonaje kama utaenda "Shopping"ngoja nikuwekee fedha kwenye account yako.... ..... ...... ......

tabia ya hao cheaters ni kutumia pesa kununua muda wako.... ....
 
Hivi atakuwa na nini mwanamke atakaenifanya nidanganye sijaoa!!! I cant imagine...

Kwani ana nini mwanamke atakaekufanya ucheat?
Hicho hicho ndio kinachofanya wenzako wadanganye.
 
fedha..
Ata spend fedha nyingi kwako ili usimshtukie.. mfano :- Ukimwambia ya kwamba jua limewaka leo niko free twende beach at least tu
spend time together .ye anakujibu ohhhh hivi sjakwambia kuhusu ile project?? nimeanza kuifanyia kazi leo na itachukua muda , unaonaje kama utaenda "Shopping"ngoja nikuwekee fedha kwenye account yako.... ..... ...... ......

tabia ya hao cheaters ni kutumia pesa kununua muda wako.... ....

Kuna wengine wajanja, kwa kujua wewe ni part time tu wala hawaspend sana,yeye ni kukupa tu mi-ahadi, yaani baby in two years nitakuwa na business yangu au nitakuwa nimepata promotion....akijua by that time utakuwa historia kwake, akispend ni pale mko pamoja au vile vimahitaji vya kitoto kama vocha,hela ya saluni na tazi....!!
 
Sasa hao ndo wanawake wenye akili, unamgundua adui yenu ni nani,mnamtengeneza na kumuachia alama kidogo ya ukumbusho,asitende tena upuuzi huo....ipo siku kutakuwa na selo lao tu....!!
Tuko pamoja dearest. . .
Mi hua nawashangaa wale wanaong'oanaga nywele alafu mwanaume anawaangalia tu badala yeye ndio angepewa kipondo.
 
fedha..
Ata spend fedha nyingi kwako ili usimshtukie.. mfano :- Ukimwambia ya kwamba jua limewaka leo niko free twende beach at least tu
spend time together .ye anakujibu ohhhh hivi sjakwambia kuhusu ile project?? nimeanza kuifanyia kazi leo na itachukua muda , unaonaje kama utaenda "Shopping"ngoja nikuwekee fedha kwenye account yako.... ..... ...... ......

tabia ya hao cheaters ni kutumia pesa kununua muda wako.... ....

Hahahaha. . .
Safari za kushtukiza hawataki kabisaaaaaa.
Kila kitu lazima kipangwe mapema. Hehehe kuhusu pesa si mpaka awe nazo. . . lolz.
 
Thread nzuri hii, nafurahi kusoma michango yote!! Daima ukiwa muongo uwe na kumbukumbu..halafu cheaters wana kazi sana, kupiga mahesabu mambo marahisi ambayo wangeweza kufanya na wapenzi/wandani wao halali...Phew!
 
mhhhhh.....poleni sana.......

kwani si bora mtu useme tu nina mtu....ili ratiba iwe rahisi????
..hhaaa hhhaa, Nimecheka sana Mkuu,The Boss. Naona umeamua kuwapa pole.
Exactly, M'mme ukiamua kutoka nje ni bora kuweka wazi, una mtu, ili ratiba ya maisha iwe rahisi.
 
kuwa nao wengi afu hawajuani inasaidia dayati ya kupunguza weiti

maana kuwapanga nayo ni kazi ngumu
 
Kuna wengine wajanja, kwa kujua wewe ni part time tu wala hawaspend sana,yeye ni kukupa tu mi-ahadi, yaani baby in two years nitakuwa na business yangu au nitakuwa nimepata promotion....akijua by that time utakuwa historia kwake, akispend ni pale mko pamoja au vile vimahitaji vya kitoto kama vocha,hela ya saluni na tazi....!!

dahhhh
wanaume wengine jamani balaa tupu..
Halafu hapo atakwambia kwa maneno matamu wee, kumbe mlenda tuu..
 
1.Unaweza kudhani nacheat kwa ajili ya simu kwamba nina visingizio,je kama hivo visingizio ni vya kweli utaaminije kuwa
ni vya kweli?

then inakwaje umefanya naye dating mpaka hujui kama ana mke mpaka aogope we kumtembelea ofisini??
 
Hahahaha. . .
Safari za kushtukiza hawataki kabisaaaaaa.
Kila kitu lazima kipangwe mapema. Hehehe kuhusu pesa si mpaka awe nazo. . . lolz.

hahahahahah
wenye fedha kidogo ndo walimu wa uongo sasa..
 
dahhhh
wanaume wengine jamani balaa tupu..
Halafu hapo atakwambia kwa maneno matamu wee, kumbe mlenda tuu..

Baby do you believe in me?? AM gonna make it baby,in less than a year baby! Be patient with me sweetheart, i know i can trust you....the future is bright my love....I love you so much...wish i met you earlier baby...am crazy....baby unajua waswahili walisema mvumilivu hula mbivu na akufaaye wakati wa dhiki ndo rafiki wa kweli baby....he he he,unaona how thoughtful can a man be? akikugusa tu,unaona bright future mwenzio ndo kaswakufanya mtumwa....wanaume bwana!!:A S-coffee:
 
1.Unaweza kudhani nacheat kwa ajili ya simu kwamba nina visingizio,je kama hivo visingizio ni vya kweli utaaminije kuwa
ni vya kweli?

then inakwaje umefanya naye dating mpaka hujui kama ana mke mpaka aogope we kumtembelea ofisini??
1. Inategemea na hivyo visingizio vyako vina uhalisoa kiasi gani na kama vinaongozana na vituko vingine.

2.Sijaelewe swali lako. . .
 
Back
Top Bottom