Kwa wale wapenzi wa SERIES na MOVIES hapa ndo Studio kubwa kabisa Nchini

andybird314 unazipata bila shida ndugu yangu zikiwa katika quality nzuri na zimekamilika. so ukiwa tayari utanambia lakini zaidi zaid unaweza kuwasiliana nami kwa number hii 255686299899 tukaongea. hizo kma hata ungenambia leo nianze kudownload for you kesho jioni ungezipata.
 
denjo mi natumia torrents ndugu yangu wala hamna website maalum kwa ajili hiyo. natumia torrents then IDM baada ya kuziingiza kwenye justseed hapo nanushusha mzigo vizuri tu.
 
movies pia unazo ? kwa mfano nikihitaji movie kama kumi hivi nakuja na external hard disk yangu unacharge sh ngapi ?

list ya movie nakupatia mimi
 
Hercule Poirot umenifurahisha sana kwa hili jina sikujua kma ntapata mtu ambaye amemsoma AGATHA CHRISTIE NA MPELELEZI WAKE MAHIRI Hercule Poirot au miss marple.... ndugu naomba tutafutane kwa ajili ya vitabu vyake au hata series yake pia.

Nimefurahi kuona washabiki wa Agatha hapa jf! Mi vitabu sijasoma ila series za marple ninazo almost zote, za poroit chache. Naangalia kila msimu wa xmas.
 
Filamu ya Kawaida kwenye ubora wa 1080p ni 4 gb. Hiyo ni feature moja tu. Sasa hiyo series ya 3.gb yenye filamu kadhaa ubora wa picha zake si utakuwa kwa kuangalia kwenye simu? Au labda kwa ma housemaids
 
siriusblack. nipatie tsh 25,000. ntakupatia movie hizo kumi utakazo wewe kwa quality nzuri kabisa ukipenda na subtitle ya kizungu,kifaransa au kiarabu. then ntakuongeza 5 chagua langu mimi kwa sifa hizo hizo na kukukabidhi ndani ya 24 hours. wasiliana nami 0684160222 upate movies na series.
 
mpinga shetani kuna series nzuri na zenye ubora mzuri kabisa unapata kwa 3.something GB sometme inategemeana na format pia. so hili kama unataka kuelimishwa utaelmishwa ila kama unataka kubisha uonekane unajua jua si mbaya. na ushahidi upo kama utaletea movies au series ukaona haina ubora unarusishiwa pesa yako wala si ugomvi. MIMI NAFANYA SHUGHULI HIZI ZA KUWA DOWNLODIA WATU MOVIE 10 WANAZOTAKA kwa tsh 25,000. pia nampa mteja movie 5 za nyongeza of my choice ila aseme tu kama atapenda za action, story au comedy. na movie nzur inaanzia size 650MB na kuendelea mpaka GBs kadhaa. quality nzuri kabisa wala si zile utadhani zina ukungu au vumbi.
 
Back
Top Bottom