Kwa wale wapenzi wa marashi na miski

Libya

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
783
1,917
Wasalam kama kichwa kinavyojieleza kwa wale ndugu zangu ambao sio wapenzi wa perfumes na body sprays tuambiane Marashi mazuri yakunukia binafsi kuna marashi yanapendeza kwa wadada wa ki Islam sijayajua tujuzane wajameni
 
Mimi napenda al-ud siku za ijumaa hua napenda kumix udi na al - udi
Al-ud zina majina mengi sana ni wewe tu na harufu itakayokuvutia

Natumia zaidi ya maryam na invitation sababu napenda harufu zake

Siku zingine za kawaida natumia perfume ya kawaida tu
 
Napenda udi ila naogopeshwa kuambiwa kuwa eti zinaleta majini, mi huwa napenda tu kuchoma chumbani panukie, sasa nikiskia hizo habari nyingine stimu zinakata
 
IMG_20171028_141742.jpg
Naitafuta hiii kitu, kuna mtu alikuwa anauza sijui kwa kumpata
 
Napenda udi ila naogopeshwa kuambiwa kuwa eti zinaleta majini, mi huwa napenda tu kuchoma chumbani panukie, sasa nikiskia hizo habari nyingine stimu zinakata
Wala kama zinaleta majini basi me ningekua sjui ninao wangapi

Udi ni mzuri sana kama unavyofanya sasa me hua nauchoma halaf nalimwagia maji pazia nalilowesha kiasi yan nachota maji na mkono akung'utia kwenye mapazia ule moshi unaenda kutua kwenye hayo matone

Hata usitishike n story za watu tu
 
mshana jr huyo akanambia nakaribisha vitu vya ajabu, wakati mi napenda room inukie, mie ninukie, mwanga mdogo then kifuatacho itv ni......
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom