Kwa wale wapenzi wa kitimoto, ona roast ya kitimoto hapo

Nishasema kitimoto ni dhambi
Kitimoto ni dhambi
Nguruwe ni haramu
Narudia nguruwe ni haramu

Hiyo menyu ni balaa full majaribu
Nireteeni mbusi
Nireteeni mbusii
Nasema nireteeni mbusiiiiii
Rakini mbona mbusi haiwi hivyo ndugu zangu

My take:Simple and clear wanaokula kuleni kama imani yenu inawaruhusu, msiokula msile kwa kua imani yenu inawazuia.Cha muhimu tu kila upande usimletee shida mwenzio kama huli kausha waachie wanaokula wale, na kama unakula kila kistaarabu usifanye jambo ambalo litawaumiza wasiokula...Kila kitu na mipaka yake...Ushauri bora....kila mtu atabeba msalaba wake peke yake...kila mtu ana uhuru..tusiingiliane
Kimaro nishasema View attachment 1640976View attachment 1640977View attachment 1640978View attachment 1640979View attachment 1640980
Hiyo Nyama kwetu Haramu ila Mchuzi wake twanywa
 
Na hao waliokatazwa wameruhusiwa wakiikuta kukiwa na njaa wameambiwa wale tena wahakikishe wameshiba
 
Nishasema kitimoto ni dhambi
Kitimoto ni dhambi
Nguruwe ni haramu
Narudia nguruwe ni haramu

Hiyo menyu ni balaa full majaribu
Nireteeni mbusi
Nireteeni mbusii
Nasema nireteeni mbusiiiiii
Rakini mbona mbusi haiwi hivyo ndugu zangu

My take:Simple and clear wanaokula kuleni kama imani yenu inawaruhusu, msiokula msile kwa kua imani yenu inawazuia.Cha muhimu tu kila upande usimletee shida mwenzio kama huli kausha waachie wanaokula wale, na kama unakula kila kistaarabu usifanye jambo ambalo litawaumiza wasiokula...Kila kitu na mipaka yake...Ushauri bora....kila mtu atabeba msalaba wake peke yake...kila mtu ana uhuru..tusiingiliane
Kimaro nishasema View attachment 1640976View attachment 1640977View attachment 1640978View attachment 1640979View attachment 1640980
Kitimoto sio haramu, kitimoto ni kavu, roast, banika, choma au makange
 
kimsboy leo umetupia post moja matata sana. Hv unakunywa mbege au ulanzi?
 
Mkuu hizo habari za haramu ziko kiimani na kitamaduni....

Imani haishikiki(not tangible)...

Ila ukiwa huria juu ya kila kitu....basi jua pia kuna WATU wasio na MIPAKA kwenye NGONO na KUJAMIIANA....

Wako wanaoona "kumwendea" dada wa damu,mtoto wa kumzaa,mtoto wa ndugu,Mjukuu SI TATIZO na WALA MSHIPA HAUWAPIGI...kwani kwa maneno yako "Mungu ameumba hivyo viungo"....

Wako wanawaendea WANAUME wenzao na wala mshipa HAUWAPIGI ..kwani Mungu "kaumba" hayo "wayatumiayo".

Kupanga ni kuchagua budaaa....
We jamaa ni muislamu safi sana! Ni muislamu anayeijua dini yake na asiyeendeshwa na hisia bali fact!

Nilikuona hata kwenye uzi ule wa Thomas Aquinas jinsi ulivyokuwa ukimjibu yule muislamu mwingine!!

Nakukubali sana mkuu, Salute!
 
Mkuu wangu shukran kaka....

Nilipokuwa MDOGO nilikaririshwa hizi AYA MBILI zinazopatikana katika VITABU VYETU VIWILI VITAKATIFU....

1."Pindipo inapowafikia hoja ichunguzeni kwanza,ili msije mkadhuru wasiokuwa na hatia"-Qur'an.

2."Watu wangu huangamia kwa kukosa maarifa"-Biblia

Mkuu humu duniani kuna HISIA NA UHALISIA.....

Kudos Comrade!!
 
🙏
 
Raha ya kitimoto muwe watu watano.
Ziwepo roast kilo 4 na ndizi kumi na tatu na sauce ya kutosha na zile pilipili ndefu..
Sanjari na hiyo kuwepo na kavu kilo mbili na kachumbari nyingii.
Halafu awepo chali mmoja ambaye Hana hela mchango wake Ni stori mafuriko ya beer yakianza.
Sehemu yenyewe iwe chini ya mti wenye kivuli halafu bar iwe na mabarmeid wazuri wakichaga waliochangamka.
Daaah.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dini yako unaijua vizuri mkuu?

Kwa mujibu wa imani yako mtu huyu hapaswi kabisa kushiriki chochote ni sawa na kafiri anapaswa kuuawa!

Hafai kushirikiana na watakatifu!

Wote tumelelewa sawa ila mazingira tu ya ulelewaji ndio tofauti na mazingira ndio yana shape watu.
Sawa mkuu....

Niliposema tunalelewa tofauti nimemaanisha mazingira tofauti,tabia na hulka tofauti pia itikadi za kidini tofauti...

UTOFAUTI UPO....

Ni kweli Dini yangu na yako ni TOFAUTI ila tunakutana humu JF na tunashare experiences Kama vijana kama watanzania....
Kuhusu imani yangu ya kidini ambayo umedoubt Kama ninaijua...sijapatapo kuona tukielekezwa tusishiriki na watu wa imani nyingine mambo yahusuyo MIAMALAT(yasiyo ya kiibada)kama vile KAZI,UTUMISHI,BIASHARA NA UJIRANI ila ni kweli hatujaelekezwa kuhusiana na wengine kuhusu mambo yahusuyo IBADAT(ibada)kama kusali,kufunga na mfanowe,na ndio maana nimewapa kongole masela kula K'MOTO japo mimi siili na siitumii.

Kuhusu kuwa dini yangu imewaita wengine makafiri...ni kweli hujakosea....
Kwa lugha tuitumiayo KIDINI,kafir ni mpingaji...kwa hiyo hata imani yangu ni wapingaji wa imani nyingine za kidini....nikiitwa "kafiri" na watu wa dini nyingine huwa Ni sawa na ni kweli kwani SIAMINI WANACHOKIAMINI NAO HAWAAMINI NINACHOKIAMINI.
Ukisoma Biblia utaona neno kafiri limejirudia mara nyingi kuwaelezea wale WAMPINGAO BWANA...
Lakini pamoja na uwepo wa neno hilo(kiibada) huwa ni muhali kulitumia(kimiamalat)yasiyo ya kiibada kwani UKIMUITA MTU KAFIRI KAZINI ama SOKONI utakuwa hauko SAWA KIBUSARA NA UTAKUWA NI MTAFUTA SHARI.....

To cut the long story short mkuu eee UTOFAUTI WETU haujanizuia nireply comment nawe....

Have an exquisite morning,amen!
 
Kweli.

Kuhusu imani yangu ya kidini ambayo umedoubt Kama ninaijua...sijapatapo kuona tukielekezwa tusishiriki na watu wa imani nyingine mambo yahusuyo MIAMALAT(yasiyo ya kiibada)kama vile KAZI,UTUMISHI,BIASHARA NA UJIRANI
Quran 4:51 na 57 (surat Al Maida)
Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika hao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Nafahamu nyinyi karibu kila mtu huwa ana tafsiri yake ya Koran.
Hii aya inaelekeza wazi kabisa na hata unachokifanya hapa ni makosa kwa mujibu wa imani yako!
ila ni kweli hatujaelekezwa kuhusiana na wengine kuhusu mambo yahusuyo IBADAT(ibada)kama kusali,kufunga na mfanowe,na ndio maana nimewapa kongole masela kula K'MOTO japo mimi siili na siitumii.
Sisi twaila na ni tamu kinyama ni jamii kubwa zaidi inamtumia huyu mnyama kuliko isiyo mtumia.😋
Kuhusu kuwa dini yangu imewaita wengine makafiri...ni kweli hujakosea....
Kwa lugha tuitumiayo KIDINI,kafir ni mpingaji...
Kweli kabisa.
Na kwa kuongezea ni asiye amini.
kwa hiyo hata imani yangu ni wapingaji wa imani nyingine za kidini....nikiitwa "kafiri" na watu wa dini nyingine huwa Ni sawa na ni kweli kwani SIAMINI WANACHOKIAMINI NAO HAWAAMINI NINACHOKIAMINI.
Christianity ni imani ambayo haikosoi wala kuponda imani ya Kiungu nyingine yoyote.

Tunaenda Makanisani kila jumapili na wengine tuko kwenye jumuiya mbalimbali za Kikristo ambazo tunatembeleana na kufanya uinjilishaji majumbani mwetu.
Hutasikia hata kwa bahati mbaya ikizungumzwa imani nyingine au mambo yao hata siku moja kwa sababu utakosa rejea yake ndani ya Biblia.
Ukisoma Biblia utaona neno kafiri limejirudia mara nyingi kuwaelezea wale WAMPINGAO BWANA...
Wapinga Kristo hawa walikuwepo na wametabiriwa kuja kutokea kwa ukubwa zaidi.
Lakini pamoja na uwepo wa neno hilo(kiibada) huwa ni muhali kulitumia(kimiamalat)yasiyo ya kiibada kwani UKIMUITA MTU KAFIRI KAZINI ama SOKONI utakuwa hauko SAWA KIBUSARA NA UTAKUWA NI MTAFUTA SHARI.....
Kwa mujibu wa Uislamu ielewemitaa kufanya kazi sio ibada?
Kwa mujibu wa Uislamu kufanya biashara sio ibada?
To cut the long story short mkuu eee UTOFAUTI WETU haujanizuia nireply comment nawe....

Have an exquisite morning,amen!
Kiongozi wangu nimependa sana namna unavyo argue in a very polite language.

Lakini mimi bado naamini kwa kuacha kula Nguruwe kwa sababu kaharamishwa basi kuna aya pia kama niliyokuwekea zinaharamisha kutumia bidhaa za watu wa imani zingine na hata wasio na hizo imani.

Nashangaa Iran wanauwa makafiri, wazinifu n.k lakini wanamiliki magari ya Kijapan na kimarekani.
 
Kweli.

Kweli.

Quran 4:51 na 57 (surat Al Maida)
Enyi mlioamini! Msiwafanye mayahudi na wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika hao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.

Nafahamu nyinyi karibu kila mtu huwa ana tafsiri yake ya Koran.
Hii aya inaelekeza wazi kabisa na hata unachokifanya hapa ni makosa kwa mujibu wa imani yako!

Sisi twaila na ni tamu kinyama ni jamii kubwa zaidi inamtumia huyu mnyama kuliko isiyo mtumia.😋

Kweli kabisa.
Na kwa kuongezea ni asiye amini.

Christianity ni imani ambayo haikosoi wala kuponda imani ya Kiungu nyingine yoyote.

Tunaenda Makanisani kila jumapili na wengine tuko kwenye jumuiya mbalimbali za Kikristo ambazo tunatembeleana na kufanya uinjilishaji majumbani mwetu.
Hutasikia hata kwa bahati mbaya ikizungumzwa imani nyingine au mambo yao hata siku moja kwa sababu utakosa rejea yake ndani ya Biblia.

Wapinga Kristo hawa walikuwepo na wametabiriwa kuja kutokea kwa ukubwa zaidi.

Kwa mujibu wa Uislamu ielewemitaa kufanya kazi sio ibada?
Kwa mujibu wa Uislamu kufanya biashara sio ibada?

Kiongozi wangu nimependa sana namna unavyo argue in a very polite language.

Lakini mimi bado naamini kwa kuacha kula Nguruwe kwa sababu kaharamishwa basi kuna aya pia kama niliyokuwekea zinaharamisha kutumia bidhaa za watu wa imani zingine na hata wasio na hizo imani.

Nashangaa Iran wanauwa makafiri, wazinifu n.k lakini wanamiliki magari ya Kijapan na kimarekani.
Mkuu wangu umeendelea kurudia maneno haya..."kwa uislam KUFANYA kazi si ibada? kwa uislam kufanya biashara si ibada"?...

Hapo juu nimekufafanulia ndani ya uislam Kuna vitu viwili vinavyofungamanishwa....
1.Ibadat(ibada)yanayohusu watu na Mwenyezi MUNGU(kusali,kufunga,kuhiji,shahada,zaka).

2.Miamalat(miamala) yaani yote yanayohusu WATU KWA WATU.

Kwa hiyo HAKUNA IBADA inayomhusisha mtu na mtu bali katika UISLAM ni MTU na MUNGU WAKE...kuuza,kununua,kazi,ujirani ni KWA AJILI YA SISI WANAJAMII...iwe kati ya muislam na asiye muislam ama muislam na muislam....

Umeitolea mfano wa IRAN kuuwa makafiri na WAZINIFU....

Sijapatapo kusikia WASIOKUWA WAISLAM wanaishi kwa kuuawa huko IRAN....labda uniambie kuwa huko IRAN hakuna WASIOKUWA WAISLAM....

Kuhusu Iran kuuwa WAZINIFU wakipatikana SILISHANGAI...kwani UISLAM na UYAHUDI ni dini zinazoshahabiana.....zina SHERIA KALI,NGUMU na ni dini za CONSERVATIVE si kiliberali....

Lakini usishangae tu Iran kuyatumia magari ya Kijapan na Kimarekani bali pia shangaa Wamarekani na wajapani kutumia MAFUTA NA GESI YA IRAN(japo wanatofautiana kidini).
Shangaa tena CONSERVATIVE wa Saudi Arabia wenye misimamo mikali kutumia ELIMU THINK TANK ya wamarekani ilihali hao Wamarekani wanatumia UTAJIRI WA MAFUTA WA NCHI HIYO....
👆👆👆👆
Hapo ninamaanisha ya kuwa ndani ya dunia hii MUTUAL INTERESTS katika mambo ya miamala(miamalat) ni jambo LISILOEPUKIKA labda kwa watu wenye fikra hasi na mgando tu kama wale BOKO HARAM na MEND wa kule kusini mwa Nigeria....

Umeiquote hiyo Surat ul Maidah kuhusu URAFIKI...niseme kitu kimoja kuwa BINADAMU Hawezi kuwa na MARAFIKI WA NDANI ELFU....mara nyingi wengi wa watuzungukao ni partners kwa hili na lile...ila marafiki wa ndani ni wasiri....wasiri hula pamoja...hufanya ibada pamoja...na mengineyo ya ndani...
Mfano mkubwa wa URAFIKI wa ndani(awliya)ni kati ya mke na mume....

Katika hiyo aya limetumika neno AWLIYAA(maswahiba-urafiki wa ndani).
Kwa hiyo kuhusu hiyo aya ni kweli uislam haututaki kushirikiana na WASIOKUWA WAISLAM katika mambo ya ndani ya kiimani(ibadat) lakini si miamalat(miamala)...
Hata huko nyuma Mtume wa Waislam Muhammad (s.a.w)aliwapeleka waislam kwa mfalme Najjash wa ETHIOPIA(hapo TIGRAY) ili wapate salama.....mfalme Najjash alikuwa ni MKRISTO......

Kuhusu kula kitimoto...uislam na uyahudi UNAPIGA MARUFUKU...

Hiyo haina maana kuwa kupigwa marufuku huko kunaondoa UTAMU WAKE....

Uislam na Uyahudi unapiga marufuku "laan sex" haina maana kuwa "si tamu kwa wanaofanya..."

Wako waislam na wayahudi wengi wanakula KITIMOTO....wanafurahia na kuinjoi mdudu japo mimi SIMLI NA SIMTUMII KIIMANI haina maana kuwa niwazuie wengine wasimle na kumtumia....

Kaka eee ninapenda mjadala nawe unachangamsha na kufikirisha....

Be blessed
 
Sawa mkuu....

Niliposema tunalelewa tofauti nimemaanisha mazingira tofauti,tabia na hulka tofauti pia itikadi za kidini tofauti...

UTOFAUTI UPO....

Ni kweli Dini yangu na yako ni TOFAUTI ila tunakutana humu JF na tunashare experiences Kama vijana kama watanzania....
Kuhusu imani yangu ya kidini ambayo umedoubt Kama ninaijua...sijapatapo kuona tukielekezwa tusishiriki na watu wa imani nyingine mambo yahusuyo MIAMALAT(yasiyo ya kiibada)kama vile KAZI,UTUMISHI,BIASHARA NA UJIRANI ila ni kweli hatujaelekezwa kuhusiana na wengine kuhusu mambo yahusuyo IBADAT(ibada)kama kusali,kufunga na mfanowe,na ndio maana nimewapa kongole masela kula K'MOTO japo mimi siili na siitumii.

Kuhusu kuwa dini yangu imewaita wengine makafiri...ni kweli hujakosea....
Kwa lugha tuitumiayo KIDINI,kafir ni mpingaji...kwa hiyo hata imani yangu ni wapingaji wa imani nyingine za kidini....nikiitwa "kafiri" na watu wa dini nyingine huwa Ni sawa na ni kweli kwani SIAMINI WANACHOKIAMINI NAO HAWAAMINI NINACHOKIAMINI.
Ukisoma Biblia utaona neno kafiri limejirudia mara nyingi kuwaelezea wale WAMPINGAO BWANA...
Lakini pamoja na uwepo wa neno hilo(kiibada) huwa ni muhali kulitumia(kimiamalat)yasiyo ya kiibada kwani UKIMUITA MTU KAFIRI KAZINI ama SOKONI utakuwa hauko SAWA KIBUSARA NA UTAKUWA NI MTAFUTA SHARI.....

To cut the long story short mkuu eee UTOFAUTI WETU haujanizuia nireply comment nawe....

Have an exquisite morning,amen!
SORRY nje ya mada kidogo ,umesema kiimani hamruhusiwi kuhusiana na imani nyingine mambo yanayohusu ibada,vp mnavyoombaga dua pamoja na makonda au magufuli ndani ya msikiti sio ibada?? vp mwakyembe mlivyoshirikiana nae swala ya maiti ndan ya msikiti sio ibada? vp pesa za kujenga msikiti wa chamwino zilivyochangishwa kanisani na zikapokelewa msikitini na msikiti ukajengewa sio ibada?? vp shekh mkuu alivyoomba dua kwa jina la yesu dua sio ibada
 
Mkuu wangu shukran kaka....

Nilipokuwa MDOGO nilikaririshwa hizi AYA MBILI zinazopatikana katika VITABU VYETU VIWILI VITAKATIFU....

1."Pindipo inapowafikia hoja ichunguzeni kwanza,ili msije mkadhuru wasiokuwa na hatia"-Qur'an.

2."Watu wangu huangamia kwa kukosa maarifa"-Biblia

Mkuu humu duniani kuna HISIA NA UHALISIA.....

Kudos Comrade!!
Umeona eeh mi si nilikwambia

Wengine nao wameona
 
Back
Top Bottom