Kwa wale wapenzi wa GOSPEL REGGAE Christafari Band kutoka USA wanakuja Dar es salaam UPANGA CCC Jan. 13

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Usipange kukosa jamaa wanapiga Gospel Reggae kali sana pamoja na Cover za gospels nyingine in Reggae rhythms. Usikose ni pale UPANGA CCC.

Hawa jamaa wanajua kinoma, moja ya kitu kinanifurahisha ni kwamba wanapiga ala za muziki na kuimba akiwemo mwanadada Avion ambae anapiga gitaa la bezi na kuimba wakati huohuo kitu ambacho wengi hawawezi. Usikose mtumishi.

Show at CCC (City Christian Center) Upanga

maxresdefault.jpg
 
View attachment 978635
tuliikosa hii, lini wanakuja tena?
 
Back
Top Bottom