Kwa Wale Wapendao Kazi Za Mzee Wetu,Chinua Achebe Kazi Kwenu......! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wale Wapendao Kazi Za Mzee Wetu,Chinua Achebe Kazi Kwenu......!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Arnold Ndosi, Sep 28, 2012.

 1. A

  Arnold Ndosi Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari Ndugu Zangu?ninamatumaini Kwamba Niny Wazma.
  Kwa Wale Wapenda Kazi Za Chinua Achebu,mwandishi Maarufu Mnaigeria, Nimepata Habari Kwamba Babu Huyo Kapublsh Kazi Nyngne Kali Sana Inayoitwa"there Was A Country"

  Mzee Wetu,Achebe Anadai Kwamba Hiyo Riwaya Inazungumzia taifa liitwalo "biafra" liliyoundwa Masharik Mwa Nigeria Kwny miaka ya 60 ndani ya na mtu aitwae ojumku wa kabla la igbo.
  anasisitiza kwamba,anamejaribu kupredict maisha yabaadae ya Nijeria Kwa Sabubu Eti Itaweza Vunjika Baada Ya Kuundwa Kwa Serekali Nyngne Huru Ya Kikundi Cha Waislamu Wenye Itikad Kali Wajiitao 'boko Haramu"kutoka Kaskazn Mwa Nigeria.
  Huyo Mzee We2 Anasema Umri Wake Umeenda Sasa Na Hiyo itakuwa Ni Kazi Yake Ya Mwisho.
  Mnasemaje Kuhusu Hayo Wana Jf?
   
 2. Imany John

  Imany John Verified User

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Embu kama unaweza nielekeza mahali pa kupata nakala za vitabu vya kommon man MKENYA UNIJUZE!
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  "Nigeria" mnaijua nyie wa nje tu, wenyewe kwao hiyo ni some utopian entity, wanaulizana "Igbo au Yoruba? Fulani au Ogoni? Delta au Benin? Maiduguri au Port Harcourt?"

  Na sie tusipoangalia ndo tunakoelekea huko kwa narrative za "Bara au visiwani? Pemba au Unguja? Ziwa au Nyanda za juu kusini? Kaskazini au Kusini?"
   
 4. A

  Arnold Ndosi Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  dah,kaka Kunashda Sana Kuhusu Maswala Ya Vitabu Siku Hz Tanzania.nimekuwa Nikizunguka Maduka Mengi Sana Kariakoo,Mnazi 1 Na Posta,Dar Es Salaam Kutafuta Vitbu Fulani Lakini Vitabu Venyewe Hamna Kabisa,kuna Novels Za Wazungu Na Vitabu Vya Nyambari Nyangwine Zaidi.
  Kama Uko Dar,embu jaribu Mtaa Wa Jamhuri Posta Au The Game(mlimani City)unaweza Kupata....hata Ivyo 2wasubiri Wadau Wengne Pengne Watakuelekeza Mahali Pa Uhakika Zaidi.
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Natanguliza shukrani!
   
 6. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Nauhakika km ungekuwa umeulizia move ungekuwa umeipata tayali,ila vitabu siku hizi hakuna sio dar peke yake bali tz nzima watu wamekuwa wavivu wa kusoma na wauzaji wa vitab wameachana na hiyo biashara, mi nakushauri ujalibu kukinunua kupitia mtandao
   
Loading...