Kwa Wale wanasayansi tupia ujuzi wako

ZNdoto

Member
Feb 23, 2013
19
1
Msaada wakuu, nina ndugu yangu amepata division 4 ya point 19, anataka kusoma diploma ya medical doctor .naomba ushauri wa chuo ambacho kinatoa course hiyo, ukiwa unajua na ada yake itakuwa imetulia.
 
Sikujua kua kazi za mwanasayansi ni kujua orodha ya vyuo na mavyeti wanayotoa, kweli hiki ni kizazi cha viazi/
 
Back
Top Bottom