Kwa wale wanaotaka kuwekeza Tanzania. Njoo tupeane machimbo

Humuamini mama??
Tatizo Mama hajazungumzia kuhusu kufuta zile sheria kandamizi za uwekezaji za Kayafa.Nchi huwa inaongozwa kwa sheria na wala siyo kwa maneno matamu na yanayotia matumaini!Maneno matamu na yanayotia matumaini ni changa la macho.
 
Quality plaza nyerere road

Jengo lipo wazi tupuuu Kuna benk moja tu pale. Popo wananyea mle.

Kwa wale wa biashara za supermarkets, hospital, migahawa ya kisasa movie theater maduka etc
Yaani kweli miss natafuta akili yako ndio imeishia hapa?

Unaweka supermaket unaijua purchasing power current?

Njoo inbox kwanza kuna kitu nataka unipe
 
Kwa wanaotaka kuwekeza Tanzania, kwenye mnyororo wa kuongeza thamani ..miezi hii wakulima wanaelekea kuvuna mashambani huko
 
Back
Top Bottom