Kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye mashamba ya miti

Mada nzuri hii kwa anayehitaji maeneo ya Mafinga/Mufindi anaweza kunicheki nitamsaidia namba ya jamaa mwenye mashamba pale na atamuuzia bei ambayo hatojutia nasema hivi sababu jamaa ameniuzia zaidi ya mara 2 na bei zake n murua sana Ukiwa na 1.5M unauhakika wa eka 10.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom