Kwa wale wanaotafuta Motherboard za Desktop wanione mimi

U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
6,571
Points
2,000
U

UHURU JR

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
6,571 2,000
Mkuu C6 Huyo uliyempelekea mbona sio mtaalamu wa Laptop?Kama ilikuwa inatoa sauti kwa Ku beep matatizo sio Motherboard matatizo yatakuwa ni Ram ndie yenye kukuletea hiyo sauti ya ku beep kuna Mpopo Mmoja alikuwa na Laptop ya model ya Casper ilikuwa na hayo Matatizo ikifunguka inaanza kwanza kuleta sauti ya Ku beep nikamplekea fundi akaichunguza kwa undani akasema kutoa sauti ya ku beep ni RAM yenye matatizo tukabadilisha RAM sasa Laptop yake inafanya kazi kama kawaida . Kwani hiyo Laptop yako ukijaribu kuifunguwa inaanza kwanza kuleta hiyo sauti ya ku beep? kisha ndio inafunguka?au ikifunguka inaleta Blue Screen of Death? Screen yake ikifunguka inaleta rangi ya blue?hebu nieleze vizuri kwanza.
Mkuu mie nina laptop yangu ina tatizo la kuleta blue screen na wakati mwengine white,fundi kaniambia tatizo motherboad.
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,451
Top