Kwa wale wanaotafuta Motherboard za Desktop wanione mimi

MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000
M5A97 AMD 970 / SB950 AM3 + DDR3 2133MHz (OC) USB 3.0 SATA 3.0 Motherboard Bei yake ni Dola200

m5a97-amd970-motherboard-jpg.1125770


For ASUS P5G41T-M LX Intel G41 1333MHz DDR3 LGA775 Motherboard Bei yake ni Dola 200

asus-p5g4t-mlx-jpg.1125780GIGABYTE 880GM-USB3 DDR3 AMD 880G / SB710 AM3 1800MHz (OC) VGA & HDMI Motherboard
Bei yake ni Dola 170

gigabyte-880gm-usb3-dd3-amd-880g-jpg.1125782


Haya tena kwa mwenye kutaka Mothera board awasiliane na mimi
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +447459370172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000
ASUS P8Z77-V LE INTEL Z77 SOKET 1155 DDR3 2400MHZ(O.C.)SATA 3.0 USB 3.0 HDMI Hii Bei yake ni Dola300
MSI Z77A-GD55 INTEL Z77 SOKET 1155 DDR3 2667MHZ(O.C.) HDMI&DVI Bei yake ni dola220MSI 760GM-P21 (FX) AM3+ AMD 760G+SB710 DDR3 1333MHZ DVI&VGA Bei yake ni dola120


Haya tena changamkeni kwa wale wanaotaka motherboard hizo za kisasa na zina Warrant miaka 2. Ukihitaji
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +447459370172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.https://www.facebook.com/mzizi.mkavu
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000
AMD FX X6 6100 SOKET AM3+ 3.3GHZ 14MB CACHE 32NM CPU. Bei yake ni Dola 250


Na ingine hii hapa AMD ATHLON II X2 250 AM3 3.0GHZ 2MB CACHE 45NM CPU Bei yake ni Dola 150


Na ingine hii hapa AMD FX X8 8120 SOKET AM3+ 3.1GHZ 16MB CACHE 32NM Bei yake ni dola300XIGMATEK PRIME INTEL LGA775/1155/1156/1366/2011 & AMD AM2/AM3/FM1 heatsink CPU Bei yake ni DOLA 160


COOLER MASTER HYPER 612S LGA 775/1155/1156/1366 & AMD AM2/AM2+/AM3/AM3+/FM1 heatsink CPU Bei yake ni DOLA 120

 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000
ZALMAN CNPS10X EXTREME INTEL LGA775/1155/1156/1366 & AMD AM2/AM2+/AM3 heatsink CPU Bei yake ni DOLA 180
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000

Seagate 3.5" 3 TB Backup Plus USB 3.0
320 $ Dollar


Western Digital 500 GB, 2.5 Inch External HDD Usb 3.0 WDBPCK5000ABK-EESN​
145 $ Dollar


Western Digital 500 GB, 2.5 Inch External HDD Usb 3.0 WDBACY5000ABK-EESN​
164 $ Dollar


Western Digital 500 GB, 2.5 Inch External HDD Usb 3.0 WDBACY5000ARD-EESN
164 $ Dollar


Western Digital 2 TB, 3.5 Inch External HDD Usb 3.0 WDBACW0020HBK-EESN​
279 $ Dollar


Western Digital My Book Studio Edition II 4 TB, Usb 2.0 WDH2Q40000E​
929 $ Dollar


Western Digital 1 TB, 2.5 Inch External HDD Usb 3.0 WDBPCK0010BBK-EESN​
279 $ Dollar


WD 3.5" 2 TB MyBook Studio USB 2.0 / FW 800
4 30 $ Dollar


WD 3.5" 1 TB MyBook Studio USB 2.0 + FW 800
379 $ Dollar

WD 3.5" 1 TB MyBook Live Ethernet
329 $ Dollar


WD 3.5" 2 TB MyBook Live Gigabit Ethernet
369 $ Dollar


Seagate 3.5" 2 TB FreeAgent GoFlex Home
339 $ Dollar

Seagate 2.5" 500 GB USB 3.0 GoFlex Satellite

 
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Points
1,250
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 1,250
MziziMkavu nitafutie motherboard ya dell inspiron m5010 amd quard core
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000
Mkuu.@C6 Ndio ninarudi kukutafutia sijapata hiyo Motherboard ila kuna mtu mmoja ana Kampuni yake ya kuuza Computer na Spea za Computer nimempigi simu kasema nimpe muda atajaribu kfuatilia na atanipa jibu kesho au keshokutwa nitakupa Feedback. Na huku ipo ya DEll dell inspiron N5010 Motherboard je inaweza kuingilia na hiyo unayoitaka?

Hebu angalia picha kwa chini hapa
This is a collection of how-to laptop repair manuals and DIY laptop repair videos that we have created free for you. These Dell repair manuals for the Dell Inspiron 15R (N5010) notebooks are designed to teach you how to install and replace Dell parts that you have purchased from Parts-People.com. Feel free to ask questions or request new tutorials.

[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 Right Side DC Jack IO Circuit Board Removal and Installation[/h]
[h=3]This how-to guide shows the removal and installation of the Right Side DC Jack IO Circuit Board on the Inspiron 15R N5010. If you need any of the parts spoken about they are linked at the bottom of the post. A small phillips head and flat head screw driver is the only tool needed for this repair.[/h]


[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 VGA USB Circuit Board Removal and Installation[/h]
[h=3]Learn how to install and replace the laptop VGA USB Circuit Board on a Dell Inspiron 15R N5010 laptop. This will take you set by set through the complete installation and replacement process. The only tools needed is a small phillips head screw driver and a small flat head screw driver.
[/h]

[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 Bluetooth Chip Removal and Installation[/h]
[h=3]This how-to guide shows the removal and installation of the Bluetooth on the Inspiron 15R N5010. If you need any of the parts spoken about they are linked at the bottom of the post. A small phillips head and flat head screw driver is the only tool needed for this repair.
[/h]

[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 Rear Hinge Cover Removal and Installation[/h]
[h=3]This how-to guide shows the removal and installation of the Rear Hinge Cover on the Inspiron 15R N5010. If you need any of the parts spoken about they are linked at the bottom of the post. A small phillips head and flat head screw driver is the only tool needed for this repair.
[/h]

[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 LCD Back Cover Removal and Installation[/h]
[h=3]Learn how to install and replace the laptop LCD Back Cover on a Dell Inspiron 15R N5010 laptop. This will take you set by set through the complete installation and replacement process. The only tools needed is a small phillips head screw driver and a small flat head screw driver.
[/h]

[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 LCD Camera Removal and Installation[/h]
[h=3]This how-to guide shows the removal and installation of the LCD Camera on the Inspiron 15R N5010. If you need any of the parts spoken about they are linked at the bottom of the post. A small phillips head and flat head screw driver is the only tool needed for this repair.
[/h]

[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 LCD Hinge Removal and Installation[/h]
[h=3]This how-to guide shows the removal and installation of the LCD Hinges on the Inspiron 15R N5010. If you need any of the parts spoken about they are linked at the bottom of the post. A small phillips head and flat head screw driver is the only tool needed for this repair.
[/h]

[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 LCD Cable Removal and Installation[/h]
[h=3]Learn how to install and replace the laptop LCD Display Cable on a Dell Inspiron 15R N5010 laptop. This will take you set by set through the complete installation and replacement process. The only tools needed is a small phillips head screw driver and a small flat head screw driver.
[/h]

[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 LCD Display Bezel Removal and Installation[/h]
[h=3]This how-to guide shows the removal and installation of the LCD Display Bezel on the Inspiron 15R N5010. If you need any of the parts spoken about they are linked at the bottom of the post. A small phillips head and flat head screw driver is the only tool needed for this repair.
[/h]

[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 Display Assembly Removal and Installation[/h]
[h=3]This how-to guide shows the removal and installation of the LCD Display Assembly on the Inspiron 15R N5010. If you need any of the parts spoken about they are linked at the bottom of the post. A small phillips head and flat head screw driver is the only tool needed for this repair.
[/h]

[h=2]Dell Inspiron 15R N5010 M501R M5010 SD Card Reader Removal and Installation[/h]
[h=3]Learn how to install and replace the laptop SD Card Reader on a Dell Inspiron 15R N5010 laptop. This will take you set by set through the complete installation and replacement process. The only tools needed is a small phillips head screw driver and a small flat head screw driver.

Chanzo: Dell Inspiron 15R / M501R (N5010 / M5010) Repair Manual | News, Gadgets, DIY Videos, Repair Tips | Parts-People.com

[/h]
 
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Points
1,250
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 1,250
MziziMkavu tatizo n series zote zinatumia intel processors, hii yangu ni amd ndo maana imekuwa tatizo kuipata, cheki na jamaa kisha nipe feedback
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000
MziziMkavu tatizo n series zote zinatumia intel processors, hii yangu ni amd ndo maana imekuwa tatizo kuipata, cheki na jamaa kisha nipe feedback
Mkuu C6 unamaanisha nikkipata inayotumia Processor ya AMD ya Model hii DEll dell inspiron N5010 Motherboard utaitaka?
 
Last edited by a moderator:
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Points
1,250
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 1,250
MziziMkavu sijui kama hata zinalingana maana iyo nnayotaka ni ya mashine yangu, ambayo ni DEll dell inspiron m5010, halafu nilivyjaribu kusearch nikaona n series almost zote zinatumia intel
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000
MziziMkavu sijui kama hata zinalingana maana iyo nnayotaka ni ya mashine yangu, ambayo ni DEll dell inspiron m5010, halafu nilivyjaribu kusearch nikaona n series almost zote zinatumia intel
Mkuu C6

nilivyokwenda mimi kwenye Maduka wanayouza hizo Motherboard ya Laptop yako nikaonyesha model ninayoitaka ndio

wakaniambai kuwa ipo hiyo ya DEll dell inspiron N5010 Sio DEll dell inspiron m5010 na kitu kingine walichosema kama

nikiweza bora niwapelekee hiyo Laptop wataweza kunitengenezea nikasema ipo nchini mwangu sio hapa nilipo tena ni ya

rafiki wangu ndio hivyo sasa wewe unaweza kunitumie huku nikajaribu kuwapelkeaili kama wataweza kuitengeneza? au

unasemaje? Imeharibika hiyo motherboard yako kiasi haitowezekana huko kutengenezeka? una ushauri upi? au kama hiyo

niliyokuambia ni ya Model ya AMD
DEll dell inspiron N5010 Motherboard si bora ujaribu au unasemaje? Na bado

ninajitahidi kukutafutia hiyo uliyosema hata hii leo nitakuwa nipo njiani kukutafutia mpaka nijuwe mwisho wake kisha

nitakupa feedback.
 
Last edited by a moderator:
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Points
1,250
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 1,250
MziziMkavu laptop yangu iko ivi
ilianza kwa kutoa sauti beep sound wakati fulani ivi then ikapotea jumla, hata mwaka haijamaliza bado tangu niinunue tena nilinunua mpya kabisa, niliiacha dar kwa mshikaji akaniambia tatizo ni motherboard, sasa mimi si mtaalam wa hardware nikaona niwe mpole, ntajaribu kuipeleka kwa fundi hapa dodoma ikishindikana kabisa, ntaiuza scrapper maana sidhani kama bado itakuwa nq uimara ule ule baada ya kufunguliwa sanantakupa feedback weekend hii
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000
MziziMkavu laptop yangu iko ivi
ilianza kwa kutoa sauti beep sound wakati fulani ivi then ikapotea jumla, hata mwaka haijamaliza bado tangu niinunue tena nilinunua mpya kabisa, niliiacha dar kwa mshikaji akaniambia tatizo ni motherboard, sasa mimi si mtaalam wa hardware nikaona niwe mpole, ntajaribu kuipeleka kwa fundi hapa dodoma ikishindikana kabisa, ntaiuza scrapper maana sidhani kama bado itakuwa nq uimara ule ule baada ya kufunguliwa sanantakupa feedback weekend hii
Mkuu C6 Huyo uliyempelekea mbona sio mtaalamu wa Laptop?Kama ilikuwa inatoa sauti kwa Ku beep matatizo sio Motherboard matatizo yatakuwa ni Ram ndie yenye kukuletea hiyo sauti ya ku beep kuna Mpopo Mmoja alikuwa na Laptop ya model ya Casper ilikuwa na hayo Matatizo ikifunguka inaanza kwanza kuleta sauti ya Ku beep nikamplekea fundi akaichunguza kwa undani akasema kutoa sauti ya ku beep ni RAM yenye matatizo tukabadilisha RAM sasa Laptop yake inafanya kazi kama kawaida . Kwani hiyo Laptop yako ukijaribu kuifunguwa inaanza kwanza kuleta hiyo sauti ya ku beep? kisha ndio inafunguka?au ikifunguka inaleta Blue Screen of Death? Screen yake ikifunguka inaleta rangi ya blue?hebu nieleze vizuri kwanza.
 
Last edited by a moderator:
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
4,987
Points
1,250
UncleUber

UncleUber

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
4,987 1,250
MziziMkavu ngoja kuna fundi hapa ntampelekea maana baada ya kumuelezea akaniambia tatizo linatibika, maana humu ripoti zangu zote ndani
 
Last edited by a moderator:
J

jembe12

Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
59
Points
0
J

jembe12

Member
Joined Oct 18, 2012
59 0
Mkuu mm nna laptop ya toshba fund kaniambia motherbod imekufa vp kma unaweza pata naomba tuwasiliane
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000
Mkuu mm nna laptop ya toshba fund kaniambia motherbod imekufa vp kma unaweza pata naomba tuwasiliane
Mkuu jembe12 Mbona umezungumza kama habri hujasema Laptop Toshiba Model ipi hiyo iliyokufa?Umezungumza tu kama habri sema information zake Toshiba ya mwaka gani?Model ipi?


How to find your Laptop Model Number & Serial Number


There are many instances where you want to download the drivers for your particular model of PC or laptop. Once you visit the

site, branded manufactures request you to enter a model number or serial number for your laptop or computer PC. You may

find that, sometimes it is not that easy to find the serial number or model number of your PC or laptop. You may have

misplaced the bills or don’t know where the find the same. But with simple DOS commands you can find the model number and serial number of your laptop or PC.1. Open command prompt with administrative privileges.

2. Type wmic bios get serialnumber to get serial number of your laptop or PC.

3. Type wmic csproduct get name to get model name and number of your laptop or PC.As my desktop is assembled, I don’t have a particular brand. Hence, you cannot see any model number or serial number in the screenshot above. But for your branded laptop, you should see one.Angalia Video hii hapa ....................


 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,125
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,125 2,000
MziziMkavu ngoja kuna fundi hapa ntampelekea maana baada ya kumuelezea akaniambia tatizo

linatibika, maana humu ripoti zangu zote ndani
Mkuu C6 fuatilia kisha unipe feedback umefikia wapi? Laptop

yako matatizo ya ku beep itakuwa ni Ram kama una Ram ziko mbili jaribu moja kuitoa wacha moja kisha jaribu kuiwasha

kama inawaka lakini haitoi sauti ya ku beep ujuwe hiyo Ram uliyo toa ndio inayosababisha ku beep Laptop yako na kisha

izime tena toa betri kwa nyuma weka tena hiyo Ram uliyotoa toa ile iliyo kuwemo ndani utaona ukiwasha itakuja ku beep

ujuwe hiyo Ram ni mbovu ununuwe Ram nyingine kama hakuna huko itabidi uwasiliane na mimi.


Mkuu C6 Hujaniambia ukiiwsha inawaka au haiwaki?Jaribu ikiwa inatoa sauti kama hiyo Bnyeza kwenye Keyboard yako herufi (DEL) Press Del key itanyamaza tu inshallah jaribu kisha unipe feedback
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,419
Top