Kwa wale wanaojua kiingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale wanaojua kiingereza

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Sijali, May 20, 2011.

 1. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  Tafadhali tembelea:

  View from the Termite Mound: The Sukenya Farm Conflict – What Thomson Safaris are up to in Loliondo and How I Became a Prohibited Immigrant in Tanzania

  Utalia!

  Ni juu ya kadhia la Loliondo, ila mwanama huyu mzungu amefanya uchunguzi wa kina. Utaona jinsi mijitu hii inayotuongoza isivyokuwa na huruma na Watanzania. Mauaji, uporaji wa mali na uonevu wa kila aina wanafanyiwa Watanzania wenzetu kwa maslahi ya wageni. Wanyama, mifugo flora and fauna vinasafirishwa kwenda Urabuni bila kujali.
  AAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAkh. Kweli kuna nchi inayoongozwa na wapumbavu na wajinga kama Tanzania jamani? Hii mijitu inatoka wapi, au imepandikizwa tu?
  Saa nyingine nafikiria hawa watawala wetu (maana sio viongozi) si Watanzania. Mtanzania hawezi kufanya au kusikia vitu hivi vinafanywa akanyamaa tu na hali ana uwezo wa kuvisimamisha.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hebu edit heading yako. Mi nilifikiri unataka mkalimani.
   
 3. a

  al-karim Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwakweli nimesoma uchunguzi wa mama huyu kwa kina na masikitiko ya hali ya juu haswa..kwanini vitendo kama hivi vinaruhusiwa viendelee huku jamii inaendelea kuumia kwa ujumla?tutawaachia nini kizazi kijacho kama wakubwa zetu wanatutoa nje kwa nje hivi?kweli hali imekuwa tata mpaka mama huyu (tena wa nje ya nchi!)kaamua aichukulie hatua?!kajitoa mhanga kuokoa ardhi ya wamasai,tena ya watanzania?..tunaeleka wapi jamani kama nchi yetu tunaitoa mhanga sisi wenyewe bila kujali?
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  prezdaa ashasema tukitaka "tule" lazima "tuliwe"-sasa naona hatuli-ila tunaliwa
   
 5. a

  al-karim Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa wanaotoa hii nchi nje nje hawasikiii huo uchungu wa 'kuliwa' jamani!?!
   
 6. B

  BENTA Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dawa ni uchaguzi 2015 tuwapige chini ccm kwa kura nyingi halafu mafisadi wote wapelekwe kwa pilato kujibu tuhuma zao kisha watupwe lupango wakanyee debe na kazi ngumu.
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nimeisoma hii ripoti ya huyu mwanamama na inaonesha jinsi gani jamii yetu inavyorubuniwa na maliasili yetu kuporwa. Kinachonishangaza ni kwanini wasomi wa jamii ya kimasai ambao wanauelewa wa PREDICAMENT ya watu wao hawawezi kuwasaidia kuepukana na uonevu huu; mtu kama Parkpuny aliyewahi hata kuwa mbunge huko nyuma angeweza kuwa msaada mkubwa sana kuthibiti vitendo vya kidhalimu wanavyofanyiwa wamasai!
   
 8. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hebu weka wazi kuna nini kinatendeka huko?
   
 9. data

  data JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,747
  Likes Received: 6,518
  Trophy Points: 280
  ngoja tusome afuu.. tuchangie.. c wajua lugha si yetu.
   
 10. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  HTML:
  
  
  In May 2009, during a severe drought, the company donated 100 tonnes of grain to the residents of Ngorongoro District and this was the last thing media reported about OBC before 4 July 2009 when Tanzania’s special police force – the Field Force Unit – together with the company – started clearing OBC’s “operational ground” for the hunting season. Letters of warning had been sent to villages from different government authorities since early May, but nobody acted since according to the contract the coordination of hunting and grazing should be arranged in meetings with OBC, and those meetings had never materialized. 150 bomas (homesteads) were destroyed in the fires set ablaze by the Field Force Unit, stored grain and maize fields were destroyed, 60,000 heads of cattle were pushed into an extreme drought area, calves were left behind in the stampede, there was a shortage of water both for animals and people, 12 men were beaten by the police and three seriously injured, four children were lost – three were found and one – Nashipai Gume from Arash - is still missing – four goats were burnt to death in the blast, 27 people were arrested and 12 have been prosecuted. First both the Prime Minister and the Minister for Natural Resources and Tourism denied any knowledge of the incident, then it was said that the Maasai had burned their own houses as a sign of acceptance. In media presenting the government view giving room for an investor was soon described as “protecting the environment”. The Maasai were “accused” of coming from Kenya, it was claimed journalists and NGOs had burnt the houses. The minister for Natural Resources and Tourism lashed out against NGOs in Loliondo accusing them of “breaching peace” and the Regional Commissioner threatened with having them all “audited”. Some say that there are tourism companies that have done deals with villages without threatening land tenure, but the Government prefer the likes of OBC and Thomson Safaris. A parliamentary committee on investigate mission late last year (2009) conveniently found a dead elephant with missing tusks right next to the airstrip of one of these companies.

  The Tanzanian state’s attitude towards pastoralism has at best been ambiguous, while the current government has been downright hostile from the beginning. Apart from in Loliondo, the government has supported “investors” in agriculture, mining, conservation or tourism against the rights of pastoralists in many other places like for example Mbarali and Kilosa where human rights abuses have been committed. Despite the fact that pastoralism is the backbone of Tanzania’s commercial livestock sector and that almost all the wildlife that attracts significant foreign earnings is located in pastoral areas pastoralism is seen as undesirable by the government. Already in his inauguration speech in December 2005 the president stated, “Mr. Speaker, we must abandon altogether nomadic pastoralism which makes the whole country pastureland...The cattle are bony and the pastoralists are sacks of skeletons. We cannot move forward with this type of pastoralism in the twenty first century.” And I March 2006 he stated, “I am committed to taking unpopular steps to pastoralists in order to protect the environment for the benefit of the nation and future generations.”

  Not all the Maasai in Loliondo oppose OBC. There are three Maasai sections, popularly known as “clans”, living in the area – the Purko, the Loita and the Laitaiyok. The government has used the classic divide and rule technique sometimes working with corrupt local leaders that think they can support anti-pastoralist policies that will mostly hurt people from other clans than their own, or that will even just benefit them personally. It’s said there were Purko and Loita leaders that in 1992 collaborated in signing away the hunting concession to OBC. At the moment the minority Laitaiyok clan, that claim to have been politically marginalized, is being used in this way. Unfortunately, in Loliondo even the organisations working for human rights can each be described as associated to one of the three sections or clans. Navaya ole Ndaskoi – a researcher with ample knowledge about the struggle of pastoralists and hunter-gatherers all over Tanzania – says, “A radical change in the mentality of the human rights activists in Ngorongoro is a must if the land is to stay. Otherwise the land is gone without fight. Trading on tribalism may indeed help some selfish people. It will never help the marginalized in Ngorongoro.”

  Another conflict – that tourists to Tanzania (like myself) should be able to do something about – is that of Sukenya Farm. Unlike its name suggests, Sukenya Farm is mostly open grazing land and not a “farm” and lies in Soit Sambu village bordered by the Sukenya, Mondorosi and Enadooshoke sub-villages, and also Enguserosambu village to the northeast. In 1984 the then state-owned Tanzania Breweries Limited got hold of the 10,000 acres Sukenya Farm. Exactly how is unclear, but the talk is about forged documents and corrupt leaders. What is clear is that the land was allocated by the District Land Allocation Committee, which according to the law at that time could only grant up to 100 acres. Of the 10,000 acres TBL cultivated 100 acres during the 1985-1986 season and 700 acres during the 1986-1987 season. Thereafter they left the land due to conditions that were too dry for barley cultivation. Some villagers took the case to court in 1987 where they lost and in 1991 they lodged an appeal to the High Court, which was dismissed for non-appearance in 1995. By then the problem had been solved by itself - it seemed - and the grazing land was back in the hands of the pastoralists whose customary tenure should be more than evident.
  HTML:
  
  
  Tanzania hakuna viongozi bali genge la wezi na mafisadi wasiojali haki wala utu wa raia!
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Hili ni shamba la bibi!!
   
 12. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Aaagh! Mi nachukia kama nini ninapopata habari za namna hii! No wonder baadhi ya viongozi wa juu wakiulizwa sababu za umaskini wanasema hata wao hawajui ni nini chaanzo cha umaskini wa nchi yao! Na pia inanikumbusha ile CD iliyovuma sana kipindi fulani nami nilikuwa nayo ya MAPANKI!!
   
 13. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,903
  Likes Received: 1,008
  Trophy Points: 280
  Tafadhali badilisha kichwa cha habari......maana kinasomeka kana kwamba unataka ufafanuzi au mwalimu wa kiingereza.
  Tafuta kichwa kitakacholeta hamasa kwa wanaJF wnegi ili tupate mawazo mengi.......halafu ikiwezekana hamishia hii mada kwenye JUKWAA LA SIASA....
   
 14. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Nchi hii inanikumbusha kile kisa maarufu cha Ali Baba na Wezi Arubaini. Utamu wa hadithi ile ni kuwa Ali Baba alidhulumiwa na akashirikiana na wezi 40 waliomlea kuukomboa ufalme wa baba yake. Tafauti na yanayoendelea Tanzania, viongozi wetu ambao wamekuwa maAli Baba, badala ya kushirikiana na wananchi kuikomboa Tz kutoka majanga angalau ya ujinga na maradhi (tusahau kwanza kujikomboa na umasikini) wao wamekuwa wakishirikiana na wawekezaji na viongozi walafi (wezi 400, 4000?), kuwanyang'anya wananchi ambao inaaminika ni wananchi wao, Watanzania wenzao. HII NI AIBU. HUU NI MBAYA KULIKO UKOLONI MWEUPE. HUU NI UKOLONI MWEUSI.
  Ikiwa Watanzania hatutachukua hatua za makusudi, za lazima na za haraka kuwang'oa wezi hawa, vizazi vyetu vitakuja kutulaumu daima.
   
 15. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Sasa nimeelewa kwa nini Marekani wanaonyesha kuvutiwa sana na Tanzania na kumwaga sifa kemkem kwa JK (Dr.) wetu. Tunafit vizuri profile ya nchi/watu wanaoonekana wazuri kwa mtazamo wa waMarekani ................. Mabwege wasioujua zuri au baya kwa nchi yao; wasiotambua walicho nacho; wabinafsi; wapenda kusifiwa; watiifu; omba omba; wapenda vizawadi (kama vyandarua, ambavyo tunaambiwa vitamaliza malaria!!)................. Kumbe wanaiteka nchi yetu hatua kwa hatua wakisaidiwa na akina JK. Hata maamuzi muhimu kama barabara ya Arusha - Musoma kujengwa kwake kutategemea ruhusu ya Marekani. Loh! Tumekwisha.
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Pumba zote hizi kwa kuwa OBC ni Waislaam na waarabu hakuna zaidi. Ni kama Dowans. Mbona kwa Symbion watu kimya.

  Na haya ya vitalu si OBC wenye vitalu vya kuwindia lakini hatujasikia makampuni yasiyo ya Waislaam au waarabu kusemwa wala kutajwa.

  Choko choko ya Loliondo imeanza toka siku waliogaiwa hawa wa Waarabu na ukweli ni kuwa hakuna kampuni ya uwindaji iliyochimba visima vya maji vingi zaidi ya hawa, hakuna iliyojenga shule zaidi ya hawa, hakuna iliyójenga zahanati zaidi ya hawa, hakuna inayosaidia maendeleo ya wanaowazunguka zaidi ya hawa.

  Wacheni mambo yenu hayo, mnanini?
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wewe mwanamke......
   
Loading...