Kwa wale wanaohitaji Kutengenezewa Blog au Marekebisho (Nakufanyia Bure)

Healer2

Member
Mar 4, 2018
67
34
Ndio Ni bure!! (Kama unatamani kutengeneza Blog na uweze kuingiza hela kupitia hiyo blog hii ni fursa kwako)
  • Kama una blog na umeshindwa Kuiweka kwenye mpangilio Mzuri
  • Kama una blog na una template ila umeshindwa kui customize
  • Kama hauna Blog na unatamani kuwa nayo ila huwezi ku design ( Kwa wale walio serious lakini)
  • Pia kwa Wale watumiaji wa Wordpress sitawaacha nyuma pia nitawatengenezea.
Kwanini nafanya Bila Malipo:
  • Mimi ni mwana IT, Nimepata office mpya ambayo nafanya part time na kunakuwa na Free wifi maeneo hayo hivyo baada ya kumaliza majukumu yangu huwa nafanya mambo madogomadogo hivyo nakuwa na muda wa ziada.
  • Kuna waandishi wazuri na pia watu ambao wanatamani kuwa na njia za kuwaingizia kipato ila wanashindwa kutokana na kushindwa kutengeneza blog na kutokana na nina ujuzi huo,internet,muda ni bora nikawatengenezea.
Utaratibu;
Nitawatengenezea watu wa tano (5) Wa mwanzo na kama kukiwa na uwezekano kila mwezi nitakavyokuwa napata muda nitakuwa nasaidia watu watano.

Baada ya kukutengenezea kama ukiridhika sitakataa kupokea kikombe cha kahawa kama ukipenda kuninunulia:):):):)

Baada ya Kufikisha Watu 5 nitatoa update hapa ili kama hukufanikiwa usubiri wakati mwingine.
Kazi hii itaanza Kesho.

Kama Uko serious Piga no 0763831879 Usibeep Tafadhali.

Update:
List ya Watu watano wa mwanzo imeshakamilika na tayari zimeshakamilika. Kama hukufanikiwa kupata nafasi mwezi ujao nitatoa tena nafasi, Chamuhimu subscribe kwenye huu uzi kupata update zikitoka nafasi nyingine.
 
Dah! Nina blog yangu nashindwa kui -design vizuri ,,nashindwa kuweka page level ads (Auto ads) Ni,ejaribu templates nyingi ila nashindwa kuzidesign
blog yangu hii hapa >>> CILUASHAZ
Maana kila template ninayojaribu naona haikai vyema na nishida na page level ads.
Any recommendation sir !
 
Dah! Nina blog yangu nashindwa kui -design vizuri ,,nashindwa kuweka page level ads (Auto ads) Ni,ejaribu templates nyingi ila nashindwa kuzidesign
blog yangu hii hapa >>> CILUASHAZ
Maana kila template ninayojaribu naona haikai vyema na nishida na page level ads.
Any recommendation sir !
Nipigie Nikurekebishie
 
Malipo yapo, ni kutokana na jinsi utakavyo Drive trafic wengi kwenye blog/website yako
Mkuu nazungumzia hawa wadau wa matangazo km google ads na propeller. Unafungua blog au website kipind unaomba ujiunge nao. Je,wanakutoza malipo ili kupata huduma yao ya matangazo?
 
Mkuu nazungumzia hawa wadau wa matangazo km google ads na propeller. Unafungua blog au website kipind unaomba ujiunge nao. Je,wanakutoza malipo ili kupata huduma yao ya matangazo?
Hawakutozi Malipo uwe Tu umetimiza Vigezo na masharti yao
 
Back
Top Bottom