Kwa wale wanaohitaji dada wa kazi za nyumbani

Mish Albert

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
648
557
Wasaalam wana Jf

Hii ni maalum kwa yoyote anayehitaji Msichani wa kazi(house girl)
Umri ni miaka 20,ana heshima na ni mchapakazi
Contact sitoziweka hapa kuepusha usumbufu usio wa lazima

Kwa yoyote atakaye muhitaji naomba anitafute PM

NB:matusi si uungwana!
 
Back
Top Bottom