Kwa wale wanachuo.

manrich

Senior Member
Dec 14, 2013
120
13
Naombeni msaada wale wanaosoma Tumaini Iringa. Kama ntampata aliemaliza dip ya community 2013 au aliyepo bachl.ya communi mwaka wa kwanza 2013. Naoma hata kama atani pm ntashukuru
 
Ngoja watakuja ila kama kuna tatizo linaelezeka ni bora ukasema usaidiwe ila if its confidential you may waits for PM.
 
Back
Top Bottom