kwa wale wanachuo wanaopokea mkopo

NGOGO CHINAVACH

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
943
368
jana gazeti la mwananchi 21/09/2011 lilitoa tangazo kutoka bodi ya mikopo kwamba kuna vyuo havijapeleka matokeo na maendeleo ya wanafunzi hivyo basi wanafunzi wake watachelewa kupata mkapa na kutaka vyuo vigharamie cost zote kipindi ambacho mkopo utachelewa, vyuo hivyo vikimetajwa kwneye hilo gazeti.
 
VYUO AMBAVYO HAVIJAWASILISHA MATOKEO HADI TAREHE 16 SEPTEMBER 2011 ingawa bodi imewakumbusha, (source gazeti la mwanachi la tarehe 21/September 2011 )

  1. Institute of adult education (IAE)
  2. COMMUNITY DEVELOPMENT TRAINING INSTITUTE
  3. DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY
  4. DAR ES SALAAM MARITIME TECHNOLOGY
  5. INSTITUTE OF ACCOUNTANCY ARUSHA
  6. INTERNATIONAL MEDICAL & TECHNOLOGICAL UNIVERSITY
  7. INSTITUTE OF RURAL DEVELOPMENT PLANNING
  8. MWENGE UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION
  9. OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA
  10. SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE
  11. STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR
  12. TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTACY
  13. TUMAINI UNIVERSITY- DAR ES SALAAM (TUDARCO)
  14. TUMAINI UNIVERSITY -IRINGA (TUICO)
  15. ZANZIBAR INSTITUTE OF FINANCE AND ADMINISTRATION
  16. ZANZIBAR UNIVERSITY
  17. INSTITUTE OF SOCIAL WORK
  18. KILIMANJARO CHRISTIAN MEDICAL COLLEGE
  19. MOUNT MERU UNIVERSITY
  20. MOSHI UNIVERSITY COLLEGE OF COOPERATIVE AND BUSINESS STUDIES
  21. MWEKA WILDLIFE COLLEGE
  22. ST. JOSEPH COLLEGE OF ENGINEERING
  23. STEPHANO MOSHI MEMORIAL UNIVERSITY COLLEGE
  24. COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION
  25. MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY
  26. university of Dodoma
 
Me changu hakipo hapo,maana ningempandia mkandala faster.
 
Back
Top Bottom