Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

Mimi siri yangu ambayo iko moyoni na inanitesa ni kumla mke wa jirani yangu na kumpa mimba(Zamani lakini) mpaka leo nikimwona jamaa huwa najutia sana, kweli kutoka moyoni najutia sana kitendo kile japo mkewe alikuwa mzuri sana
Hapa mtaani kuna binti kuna binti amepata mimba ya mtu mwingine kajaribu kuitoa ikashindikana sasa kuna houseboy kahamia hapa kitaa hana muda ndio kukutana na binti wakaanzisha mahusiano hapo hapo binti akamwambia nimeshika mimba jamaa amekubali akijua mimba ni yake sahivi wanaishi wote wamepangisha, ila mtaani tunajua jamaa kaliwa
 
Kuna mshkaji wangu alipigika kishenzi akawa weechat ,kumbe kuna mzungu anatafta wanaume wa kuwabandua ilikuwa mwaka 2014/5 kitu kama hicho , sasa jamaa alikuwa kapigika hana hela, katika kuchati weechat akamuona mzungu men, akamwambia nataka nyuma nakupa dollar 200 jamaa hakuchelewa, sasa siku moja nikamuomba simu yake yangu iliisha chaji, katika kupekuwa nikakuta meseji ya makubaliano ya kubanduliwa, nilishangaa sana nikaziangalia tena na tena, baadae kumrudishia simu yake na wala sijawahi kumwambia mtu yeyote yule, hata yeye sikumwambia kama nimejuaa ila nilimshusha value tokea siku hiyo nikahama na chumba nkazuga shangazi kaniita
Duh!!!,Mioyo ya binadamu imeficha Mengi Sana.
 
Nilishuhudia raisi wa awamu ya tano akiwatafutia wanae na nduguze vitengo serikalini halafu watoto wa wenzie akawa akiwaambia wajiajiri bila aibu mbaya zaidi akawa anajiita raisi wa wanyonge.......mfano wa nduguze ninaowafamu ni mussa magufuri aliekuwa mwalimu wa chuo cha maendeleo ya jamii musoma na jesca magufuri huyu alipata division four na leo yuko serikalini kwenye wizara nyeti kabisaaaaaaaaaa
 
Noma sna

Mkuu unaumafia flani ivi amazing
Tukiwa wapangaji wote kwenye nyumba flani hv, kuna mpangaji mmoja alikuwa mnoko sana maana ye alikuwa ndio mkusanyaji kodi na kumpelekea bosi. Sasa mpangaji huyu akajisahau akawa ana tutriti kama ye ndio bosi.

Nilikuwa na kibaisikeli changu cha gia cha kuendea kazini, sasa kilikuwa kinalala koridoni na pikipiki zake mbili aina ya triller ilikuwa ni lazima baiskeli niingize saa tano usiku wakati wa kulala na kutoa ilikuwa ye ndio anatoa maana alikuwa anawahi kuamka ili atoe vitu vyake vya duka lazima aanze pikipiki zake na baiskeli yangu

Sasa kuna siku nilisafiri kama siku mbili hv kurudi baiskeli sikuiona kumuuliza akanijibu hiyo baiskeli nilimwachia? Au kuna sehemu tuliandikiana kuwa nimemkabidhi? Nikapiga kimya upelelezi wangu nikagundua aliiuza buku 50, nikamfata dogo aliyeuziwa nikampa 50 yake nikarudi ghetto sikutaka kwenda polisi wala nn, alipoiona ghetto akauliza ehh umeipata nikamjibu si unaiona hapo

Baada ya mwezi niliamka saa 7 usiku na pakiti 4 za chumvi nikafungua tank za pikipiki zake nikamwaga ilipofika asubuhi pikipiki haziwaki hadi nahama pikipiki ziko stoo na kutu la kutosha aliogopa kuniuliza maana najua gereji walimwambia nini kilikumba pikipiki zake
 
Mkuu we ni kiboko kabisa
 
Back
Top Bottom