zugimlole
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,073
- 1,342
Kama hujui maana ya chemba nenda shule za boarding za serikali zile za zamani (kongwe) hakika utazijua.
Ni mahali ambapo kikundi cha wanafunzi kuanzia watatu hadi watano ambamo huwa wanapiga msuli kwa zamu yaani kama ulinzi vile.
Hizi chemba huwa zinapatikana kwenye majumba au vyumba ambayo havitumiki kabsa.
Kwa wale waliosoma shule kwa mfano.
tabora boyz
mzumbe
moshi tech
milambo
lyamungo
kibaha
old moshi
na nyingine kongwe.
Chemba huwa zinafahamika kwa majina na huwa zinasimamiwa na mwalimu ambae huchagua wanafunzi wake kwa ajili ya kujisomea na kutunza hicho chumba.
Zinasaidia kwa wanafunzi ambao hawahitaji vurugu wakati wa prepo.
Kama nawe ulisoma boarding taja jina la shule na chemba ambayo imekutoa na ukafaulu..