Kwa wale waliosoma Institute of Rural Development Planning Dodoma.

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Nakumbuka wakati nachagua vyuo nilikiweka cha mwisho kwenye choice 12 uku nikiwa nimejaza education kwenye vyuo mbalimbali nilivyochagua ajabu selection zinatoka nakuta nimechaguliwa bachelor of developing finance and investment planning chuo cha mipango.
Mwanzoni nilitaka nigome kwenda ila badae nikajipa moyo nikasema acha nikajalibu. Kufika chuoni mazingira kama siyaelewi hivi kwa waliosea hapo kulikuwa na majengo machache namanisha ili la gholofa nane lilikuwa bado ndo kwanza lilikuwa linaanza kujengwa.
Ile kuanza masomo nakuja kuelewa kozi niliyokuwa nasoma inamaana gani nilimshukuru mungu kwa kunifanya nisome pale nanikili sijawai kujuta kusoma pale japo pale mnasoma kama mpo sekondari pindi kuanzia hasubui mpaka saa kumi na mbili lakini kile chuo kinakupika unapikika.
Wakati wenzetu wa udom wanalalamika awapati field sisi mwaka wa kwanza mnaenda wilaya fulani watakayo wachagulia tena kozi zote na mabasi mnaletewa mnaenda kukusanya data kwenye kata na vijiji uku mmelipwa posho zenu za kutosha kwa mwezi mzima. Mnakusanya data mnazichambua mnazicode mpaka mtengeneze district social economic profile.Mwaka wa pili kila mtu anaenda kufanya field kwenye ofisi inayoendana nakile anachokisomea kwangu mm nilifanya LAPF dodoma nawashikaji kibao wachuoni.
Mwaka wa tatu kabla yakumaliza ndo chuo ndo dissertation hapo sasa shida tupu mpaka uone umeandika umekabizi utakuwa uanachama nyingi tu mpaka unafikia atua ya kukata tamaa. Ila yote kwa yote nimepamisi majabesa na white house. Karibuni wadau mliosoma chuo cha mipango.
 
Graduate NI hatua sio atua, tuambie ulimaliza lini na sasa wafny nn
 
yani we huoni tofauti yoyote hapa HASUBUHI na ASUBUHI? Anyway sie wapambe nuksi tunnagaliaga makosa tu kwenye majigambo. IRDP Mambo ya studio yalikuwa yanawapelekesha sana
 
Back
Top Bottom