Kwa wale waliopo serious kusaka maisha. Hii ni fursa, msaka maisha kamwe hachagui kazi.

Sales Agents

Member
Mar 17, 2018
15
7
Tunakaribia kutumiza robo ya mwaka 2018. Mwaka unaendelea kuyoyoma tu hata 10 hujaingiza na bado upo comfortable ukisubiri maisha mazuri.

Kuna fursa hapa ya kuuza vifurushi vya masomo mbalimbali ya sekondari. Vifurushi ni nini? Ni kijitabu kidogo chenye kusheheni mada / topic moja iliyoandaliwa from Form One to Form Four. Mfano kifurushi cha Classification
 
....... cha Biology. Unanunua japo vichache tu kwa mtaji usiozidi sh. hata 8,000 halafu unaingia kwenye maduka ya mangi na kuziuza huko na wanafunzi watanunua huko.

Kumbuka sisi ni Sales Agents kuna fursa nyingi tunakutana nazo.
 
Usisahau Mkapa rais mstaafu jana kasemaje kuhusu elimu. Elimu inaelekea kubaya na ipo kubaya, so nguvu za ziada ni muhimu kunusuru.
 
Achana na vitabu. Tuchukulie kwa wale wanaoishi dsm. Kipindi cha mvua kama hiki.

Mhindi mmoja unauzwa sokoni sh 350 kwa baadhi ya masoko. Unanunua labda mahindi 80 mtaji waks sh. 28000 (sijaweka jiko na mkaa wake)

Mhindi mmoja unatoa vipande 3 kila kipande sh 200 ama tuseme mhindi mmoja utauza sh 600.

Chukua sh 600 x 80 = sh. 48,000. Faida sh. ngapi
Sisi ni Sales Agents.
Unaweza kutucheki kwa namba 0745 515152 tukuunganishe na hizo fursa
 
Mkuu, ebu niunganishe na hilo deal la kuchoma mahindi....tehteehh
 
Tunakaribia kutumiza robo ya mwaka 2018. Mwaka unaendelea kuyoyoma tu hata 10 hujaingiza na bado upo comfortable ukisubiri maisha mazuri.

Kuna fursa hapa ya kuuza vifurushi vya masomo mbalimbali ya sekondari. Vifurushi ni nini? Ni kijitabu kidogo chenye kusheheni mada / topic moja iliyoandaliwa from Form One to Form Four. Mfano kifurushi cha Classification
Kwa Dodoma hivyo vifurushi vinapatikana wapi?

Bei ya jumla ni shs ngapi kwa kifurushi?
 
....... cha Biology. Unanunua japo vichache tu kwa mtaji usiozidi sh. hata 8,000 halafu unaingia kwenye maduka ya mangi na kuziuza huko na wanafunzi watanunua huko.

Kumbuka sisi ni Sales Agents kuna fursa nyingi tunakutana nazo.

Nahitaji hivyo Vifurushi navipataje?
 
Tunakaribia kutumiza robo ya mwaka 2018. Mwaka unaendelea kuyoyoma tu hata 10 hujaingiza na bado upo comfortable ukisubiri maisha mazuri.

Kuna fursa hapa ya kuuza vifurushi vya masomo mbalimbali ya sekondari. Vifurushi ni nini? Ni kijitabu kidogo chenye kusheheni mada / topic moja iliyoandaliwa from Form One to Form Four. Mfano kifurushi cha Classification
Kifurushi!!! Ni kitini bhn sio kifurushi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom