Kwa wale waliokosa vyuo kwa mwaka huu wa 2017/2018 karibuni tupeane ushauri

Makuhani

Senior Member
Oct 9, 2017
103
39
Mimi ni mmojawapo wa wahanga. Nmepata 2 ya 12 CBG nkaapply courses za kawaida kama education, environmental science katika vyuo mbalimbali kama SUA, Ardhi, Udom, (St John na Rucu hivi nmeapply awamu ya tatu baada ya kuona mambo magumu)

Tupeane ushauri...
 
Course ambazo si za kawaida ni zipi?
 
Mimi ni mmojawapo wa wahanga. Nmepata 2 ya 12 CBG nkaapply courses za kawaida kama education, environmental science katika vyuo mbalimbali kama SUA, Ardhi, Udom, (St John na Rucu hivi nmeapply awamu ya tatu baada ya kuona mambo magumu)

Tupeane ushauri...
Mwamba husomeki sasa nn lengo la kuanziasha huu uzi
 
Kwan kuna uchochez au
Nilichomaanisha 1st, 2nd na 3rd zimeshatoka zote na aliepata chuo ndo kashapata na aliekosa ndo kashakosa na kesho ndio siku am ambayo new comer kuwasili vyuoni tena kwa vyuo vyote so sijajua umemaanisha nn mkuu huu uzi wako
 
Mimi ni mmojawapo wa wahanga. Nmepata 2 ya 12 CBG nkaapply courses za kawaida kama education, environmental science katika vyuo mbalimbali kama SUA, Ardhi, Udom, (St John na Rucu hivi nmeapply awamu ya tatu baada ya kuona mambo magumu)

Tupeane ushauri...

Hili in janga tena bomu kabsaa make weng tu wamekosa vyuo dis year mwenyez Mungu ashushe huruma zake kuwepo Na fourth round bas kama vipy subirien mwakan mtaapply tena jehovvah yu hai so no worries mtapata...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom