Kwa wale waliofanikiwa kufaulu oral utumishi

EveningStar

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
262
162
Habari wakuu,

Naomba kuuliza kwa wale waliofanikiwa kufaulu oral interview utumishi na kupata kazi, je, mlijibu maswali yote kwa ufasaha?
 
Watanzania tuache negativity kila muda...hii ndio inasababisha hatujitumi kwenye mambo fulani tukiwa na fikra kama hizi,ndio kuna mapungufu makubwa kwenye system za ajira katika nchi hii...lakini je,mimi kama candidate nina sifa na na kigezo kinachohtajika?,i have a friend of mine alikua analalamika kuwa haitwi interview eti kazi watu wanapeana,lakini kazi anazoomba ni opposite na ujuzi wake,how come una apply kazi inayotaka 3 years of experience na wewe ni fresh from school....how come una apply kazi anayohtajika mtu wa marketing na wewe umesomea sociology?,...how come una apply kazi ya Managerial Level wakati ndio kwanza upo Level ya Junior na hata uzoefu bado huna....Job hunting is a job itself it's not easy as we think,...tunaishi kwa mazoea mazee,watu wenye ujuzi na uzoefu wameongezeka sana na wanajua,sasa mwenzangu na mie hata cv sijui kuandika nachukua ya Rafael nakopi na kupest,nabadilisha tu majina kweli tutafika? Haki na wajibu.....sijaandika kiushabiki coz nami am in the same page with those who are currently unemployed but am sure soon i will score!
Hii haipo sikuhizi mchezo unaanza WRITTEN HADI ORAL wanapitishwa kiakili yaani anaetakiwa kupata hiyo kazi mtapiga nae WRITTEN na mtaenda nae ORAL kisha anapewa nafasi yake ili kusiwe na lalamiko lolote.
 
Watanzania tuache negativity kila muda...hii ndio inasababisha hatujitumi kwenye mambo fulani tukiwa na fikra kama hizi,ndio kuna mapungufu makubwa kwenye system za ajira katika nchi hii...lakini je,mimi kama candidate nina sifa na na kigezo kinachohtajika?,i have a friend of mine alikua analalamika kuwa haitwi interview eti kazi watu wanapeana,lakini kazi anazoomba ni opposite na ujuzi wake,how come una apply kazi inayotaka 3 years of experience na wewe ni fresh from school....how come una apply kazi anayohtajika mtu wa marketing na wewe umesomea sociology?,...how come una apply kazi ya Managerial Level wakati ndio kwanza upo Level ya Junior na hata uzoefu bado huna....Job hunting is a job itself it's not easy as we think,...tunaishi kwa mazoea mazee,watu wenye ujuzi na uzoefu wameongezeka sana na wanajua,sasa mwenzangu na mie hata cv sijui kuandika nachukua ya Rafael nakopi na kupest,nabadilisha tu majina kweli tutafika? Haki na wajibu.....sijaandika kiushabiki coz nami am in the same page with those who are currently unemployed but am sure soon i will score!
Umeelewa nilichoandika au umeandika alimradi uonekane umeandika mkuu inshort nawaelewa UTUMISHI zaidi unavowasikia mkuu na nishapiga pepa zao sana hadi ORAL si chini ya mala 3 ko naelewa nini huwa nakutana nacho na pia ebu stick katika hoja yangu hapo hiko kitu kipo na hakuna sehemu mdau kalalamika ame apply kazi ambayo mtu hana kigezo nacho tunachoongelea hapa ni hivi Mkuu kuna michezo huwa inachezeka UTUMISHI baadhi ya Post unakuta kuna watu wanafanya Usaili ilhali tayari wana pepa Mfukoni na vivyo hivyo kwenye ORAL nazungumzia PSRS na sio kwengine hiyo ndo ilikuwa mada na hakuna aliyelalamika kama kaomba hajaitwa wala kusema kwamba kasoma kada nyingine na kaomba kada nyingine ebu njoo katika hii mada Mkuu karibu.
 
Mkuu lakini kuna watu wengi sana wamefanya kama wewe bila mtu wa kumshika mkono na wamepata kazi.

Ukiona haujapata ujue kuna wenzio walikuzidi au wote hamkufikia vigezo mkaachwa.

Wewe endelea kufanya ipo siku yako utapata. Kwanza waonesha unajitahidi sana ndio maana umevuka written na kuingia stage ya oral interview mara tano.
 
Utumishi wanakuwa fair kwa taasisi zisizo na maslahi mazuri, zinapokuja taasisi zinazolipa vizuri Hawa jamaa huwa Wana figisu Sana....
 
Mkuu lakini kuna watu wengi sana wamefanya kama wewe bila mtu wa kumshika mkono na wamepata kazi.

Ukiona haujapata ujue kuna wenzio walikuzidi au wote hamkufikia vigezo mkaachwa.

Wewe endelea kufanya ipo siku yako utapata. Kwanza waonesha unajitahidi sana ndio maana umevuka written na kuingia stage ya oral interview mara tano.
Yeah ni kweli nina jamaa yangu pia kapata kupitia UTUMISHI bila kumjua mtu ila haifanyi kuupinga ukweli huu wa baadhi ya TAASISI jamaa bado hawako fair.

Na hata ukicheck Wengi hutupwa HALMASHAURI na TAASISI ambazo hazina maslahi.
 
Uko sahihi mnaposhindana Wengi kuna ambao Watashinda na wengine Watakosa haya yote ni matokeo ila jamaa Kuna bias wanayo bado Mkuu
 
Kuna mjukuu wa RAS wa mkoa flani mwaka Juzi zilitangazwa nafasi za TAASISI flani zinazolipa vizuri, kabla hata hajatuma application hapo psrs akaniambia kazi nitapata na nitapangiwa mkoa alioko Bibi...na kweli ndio kilichotokea
 
Utumishi nafasi za mashirika makubwa hawatoi nafasi kwa wanyonge ata siku moja. Nimeshapiga oral KADCO, TPA, NGORONGORO Juzi zote zimesimamiwa na utumishi lakini nina ushaidi kama pale ngorongoro kuna mfanyakazi wa utumishi ndio wamempa kazi, pale
TPA pia kuna jamaa alikuwa anafundisha chuo cha utumishi wamempa kazi wote walikuwa na uhakika wa kazi. Na izi za TAA. Kuna watu wameanza kugawana.. Yetu macho kama huamini acha..
 
Tunapoelekea sio poa kabsa !!
 
Uko sahihi mnaposhindana Wengi kuna ambao Watashinda na wengine Watakosa haya yote ni matokeo ila jamaa Kuna bias wanayo bado Mkuu
Wapo wachache sana wakubebwa kindugu ile nepotism.

Kuna bias nyingine ipo kitaasisi kiserekali ni makusudi na wala hao waliopata hawana ndugu aliewabeba bali verting tu.

Niishie hapo. Kwani wewe uliwahi kusikia wanatangaza kazi nafasi za wale wanaofanya kazi Ikulu hata ya ufagizi au upishi kwa mfano?

Nadhani umeelewa.

Lakini mimi nakuambia nafasi hizo zinatangazwa sio moja kwa moja. Na wahusika wanapitia michakato yote kama wengine.
Yeah ni kweli nina jamaa yangu pia kapata kupitia UTUMISHI bila kumjua mtu ila haifanyi kuupinga ukweli huu wa baadhi ya TAASISI jamaa bado hawako fair.

Na hata ukicheck Wengi hutupwa HALMASHAURI na TAASISI ambazo hazina maslahi.
Mkuu umesomea au ulikuwa unaomba kazi za fani au kada gani?

Unaweza kunijibu PM ukiona hapa sio.
 
Back
Top Bottom