Kwa wale waliochaguliwa udsm bila mkopo, jaman j3 ndio hiyo, opening day

stan b

Member
Sep 8, 2011
85
10
2liochaguliwa udsm bila mkopo, napenda kufaham wenzangu mna mikakat gan? au 2naenda kuripot kibabe, je hawatatunyanyapaa? hebu 2wekane sawa wana JF wenzangu.
 
Dah! mm sijachaguliwa udom ila nina kesi kama ya kwako kaka......nimechaguliwa ardhi university ila sina mkopo,inaniuma sana....sasa sijui pesa wamepeleka kwenye uchaguz igunga au vp.Mbaya zaidi sisi tunakopa na tutarudisha na ndiyo maana walianzinsha system ya online application ile iwe rahisi kutunza kumbukumbu za mwombaj ili aje arudishe akimaliza kusoma.Sasa imekuwa tatizo hata kukopeshwa kwa malengo mazuri ya kupata elimu iinashindkana.
 
Hivi nyie mnadhani hawa viongozi wetu bila kufanya nguvu za ziada wataelewa!, Mimi sio mwanafunzi.., Ila ushauri wangu ni kama mnaweza fanyeni mipango ya maandamano ya Amani kuwafikishia ujumbe..., maana tunajua kabisa wapo ambao hawakustahili kupata hiyo mikopo na wamepata.., na wale ambao wanastahili hawakupata. Ila ukweli ni kwamba Kila mwanafunzi anastahili kupata huo mkopo as long amefaulu vizuri na kupata chuo na ni mtanzania.

Vijana ingieni barabarani tutawasupport.
 
hyo mipango ni mpaka vyuo vifunguliwe mkuu.
 
Mm mpaka sasa hela niliyoipata ni laki tano. Nimechaguliwa udom na nimekosa mkopo na leo ndio mwisho wa kulipa ada. So nimeamua siku ya registration nitaenda kujuana nao huko huko kiwanjan mana nasikia wanafunz wanajisaliji kiwanja cha michezo.
 
c heri yako hata una laki 5 afu uko udom,kuna dogo kachaguliwa Ifm afu ana laki 2 tu,yani nimemckitikia sana kwa kweli!
 
Wana m nachoshaur kila mmoja hajitaid kwenda chuo alichopangiwa, hlo swala ada jua hauko peke yako, litapatikana tu jibu, sauti ya umma ni sauti ya mungu, km vp hzo ela za BAE watugaie na sisi janga jipya la taifa otherwize maji ya kuwasha na virungu mpaka mzima. nenda chuo jamaa yangu.
 
2liochaguliwa udsm bila mkopo, napenda kufaham wenzangu mna mikakat gan? au 2naenda kuripot kibabe, je hawatatunyanyapaa? hebu 2wekane sawa wana JF wenzangu.

uandishi wako una matatizo kweli.
2wekane=?.
2naenda=?.
2liochaguliwa=?.
Upuuzi mtupu.
 
Sasa we unadhani kama hawana hela za kujikimu na kulipia Tution watamaliza kwa hiyo miaka 3.

speaking from experience....nawapa tahadhari wasije kusalitiana kwenye hizo harakati zao....kizazi cha TCU kina mambo ndugu we utaona
 
uandishi wako una matatizo kweli.
2wekane=?.
2naenda=?.
2liochaguliwa=?.
Upuuzi mtupu.

inaoekana we ni mzee kweli, kama sio basi akili yako ina mambo ya kizee. wana JF naomben ushaur juu ya huyu muadzabe.
 
hivi nyie mliokosa mkopo si mliambiwa msiripoti vyuoni mpaka hapo wizara itakapoto tamko? sasa haraka ya nini? kuweni na subira madogo
 
Vijana..kumbukeni mmezaliwa kwenye nchi masikini.
Mkopo ni kama favour tu mnayopewa na serikali, siyo kitu cha lazima! Kwahiyo ridhikeni kwa kile kidogo mnachokipata
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom