Dogo wangu naye aliomba akiwa na DES na amechaguliwa MWECAU education in science so amesubiria bumu, sijui watamchomoa akiwa chuoni?
Issue hapa ni udanganyifu-siku wakija kukugundua inakula kwako haijalishi kama TCU/Chuo hawakugundua wakati wa udahili. Hivyo wajue wanachukua risk na wawe tayari kwa lolote leo au kesho.hawatachomolewa kamwe kwani waliomaliza 2014 na 2015 mbona weng wameenda chuo kwa D -2 na vitabu vyao vikionesha principal pass ni C.....
hamna kitu kama hicho katika sayari ya sasa wapo wengi tu na wana maliza wengine mwakani na wapo ambao wamechaguliwa teyal kaka kwamfumo huu DEE,CEE,CES,CEF,BDE,DDD,DDE hao ni 2014 na 2015Issue hapa ni udanganyifu-siku wakija kukugundua inakula kwako haijalishi kama TCU/Chuo hawakugundua wakati wa udahili. Hivyo wajue wanachukua risk na wawe tayari kwa lolote leo au kesho.
Nimesema wakigundulika imekula kwao na hapa ninaongelea wasio na vigezo kama taarifa ya mtoa mada ilivyojieleza. Kama mtu anavigezo sioni issue iko wapi. Rejea kichwa cha uzi-wasio na sifa.hamna kitu kama hicho katika sayari ya sasa wapo wengi tu na wana maliza wengine mwakani na wapo ambao wamechaguliwa teyal kaka kwamfumo huu DEE,CEE,CES,CEF,BDE,DDD,DDE hao ni 2014 na 2015