Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please

max 255

Member
Jul 18, 2018
24
95
Mkuu ntakucheck nikuunganishe kwenye team yangu kunamambo tunashughulikia kuweka ofisi rasmi. Maana tumedhamiria kuleta mapinduzi kwenye game hope kwa spirit yako unaendana nasisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema kabisa mkuu na nitashukuru sana, naamin tunaweza cooperate tukapga kaz nzuri zaid... Nakutumia namba yangu PM ili tuwasiliane zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kichekoh

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
810
1,000
Nakishauri unda group la WhatsApp.. Kwa wadau wote wanaotaka kujiunga wataweka namba hapa.

Mimi nina malengo makubwa na hii kitu na nafikiria kufanya uwekezaji ndani ya miezi kadhaa ijayo.

Kama utapenda anzisha group kisha niadd 0782821177.

Nitafurahi tukiwa pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom