Kwa wale wafugaji wa kuku wa kisasa na wa kienyeji tukutane hapa

stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,227
5,132
Habarini wafugaji wenzangu natumai nyote ni wazima.
Kama mada inavyojieleza hapo juu,nia hasa nikupeana ushauri juu ya ufugaji wetu wa kuku,na kuambizana jinsi gani ya kupambana na maradhi yanayowasibu kuku zetu

5d32ed90e329e70529f06591bf17b660.jpg
 
Mzee una kuku mmoja tu tena jike? Hata sijui tuanzie wapi kupeana uzoefu
 
Back
Top Bottom