stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,227
- 5,132
Habarini wafugaji wenzangu natumai nyote ni wazima.
Kama mada inavyojieleza hapo juu,nia hasa nikupeana ushauri juu ya ufugaji wetu wa kuku,na kuambizana jinsi gani ya kupambana na maradhi yanayowasibu kuku zetu