Kwa wale wachoraji picha kwa kutumia rangi nahitaji msaada kidogo

chimela

Member
Jul 14, 2016
63
142
Wakati najaribu kupitia pitia mitandaoni namna ya kufanya photo screen painting kuna kifaa nilikimiss au kukikosa kabisa pengine ni kwa sababu ya ugeni katika hii Sanaaa. Kitu chenyewe kinaitwa DIAZO POWDER kwa anaefahamu upatikanaji wake hapa Tanzania naomba anielekeze pamoja na bei zake sokoni ....Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom