kinguo
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 440
- 318
Kama mada inavyosema. Wale wa zamani. Waliokuwepo Dar enzi miaka ya themanini. Kama mtu atakumbuka kulikuwa na mzee moja akiitwa Majambo Njee muuza karanga enzi hizo. Kulikuwa na maneno kwamba alikuwa Usalama wa Taifa. Hebu tukumbushane mwenye taarifa za Mzee Majambo Njee.
Nawasilisha.
Nawasilisha.