Kwa wale wa UDSM

Old Moshi

Senior Member
Jul 31, 2011
118
32
ni kweli kua kama una bima ya afya unarudishiwa 50,000? Na kama ni kweli madai haya yanapelekwa wapi?
 
Sa mkuu,ina maana umeshndwa kuulza hata m2 yeyote hapa chuon hadi ulete huu upuuzi wako huku jf??
 
Na nyie mmeona humu kuna uongozi wa chuo? Mijitu mingine inakurupuka tu
 
kwanza kuna vitu huwa tunadai bila hata kujua maana yake!!!nini maana ya BIMA?
 
Hurudishiwi. Haya sasa tunza boom lako vizuri na kajisomee usijedakwa bure.
 
Back
Top Bottom