Wakuu kwa yule ambaye amepangiwa SUA Main campass na hataki kukaa hosteli kuna habari njemaa.
Kuna chumba kinauzwa na vitu vyote ndani, yaani wewe unakuja na begi lako la nguo tu. Baada ya mimi kumaliza chuo nimeamua kuviuza vitu vyangu.
Vitu vilivyomo..
Ni kitanda cha kisasa, godoro, meza kubwa ya kusomea ya kioo, vyombo, diaba kubwa la maji, jiko la gesi dogo, kichanja cha plastiki, kioo kikubwa cha ukutani, enka kubwa ya nguo, vyombo vyakuhifadhia vyakula km unga, sukari, mchele na maharage.
Chumba kodi yake ni 35k na unatumia choo chako mwenyewe ila cha nje.
Nyumba ni huru na gharama za umeme ni 10k kwa mwezi.
Chumba kipo vibandani.
Kama utahitaji njoo inbox tuwasiliane.