Kwa wale wa MZUMBE Au wenye uwelewa. msaada tafadhali.

Halima james

Member
Jun 3, 2013
32
3
Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba mzumbe cz ilove hichi chuo bt mmejaribu kuulizia nimeambie wale wenye ufaulu mzur ndo wanokua admitted. m gpa yangu ni 3 je kuna uwezekano wa kupata... msaada wenu tafadhalii
 
Back
Top Bottom