Kwa wale wa Enzi za mwinyi!

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Hakika utakuwa na kumbukumbu za kutosha kama ulipitia vibanda umiza kipindi hichoo, hebu tuambie unakumbuka wapi?
Kwa upande wangu nakumbuka nilikuwa naziangalia muvi hizo pale kinondoni shamba ktk ofisi za ccm kipindi hicho ilikuwa hatareee! Tiririka sasa!!
 
Attachments

  • 1467191308459.jpg
    1467191308459.jpg
    38.9 KB · Views: 128
  • 1467191338236.jpg
    1467191338236.jpg
    67.1 KB · Views: 123
  • 1467191369692.jpg
    1467191369692.jpg
    37 KB · Views: 143
Enzi zangu angalau sina attachment yoyote hapa ni nilikuwa maeneo fulani hivi huko Mbagala kuna movie inaitwa Disco Dancer ,LOHA
Umenikumbusha mbali sana mkuu.
 
Umenikumbusha enzi hizo ikicheza Loha,Kasampaida karne walek,Disco dancer au Tarzan boy, lazima nitoroke shule nikafagie ukumbi na kupanga viti ili nipate siti ya bure!
 
Shahenshah, Mkono wa chuma bila kusahau Ajay, Ziddi & Jeet za Sunny Deol. Nk... Teh! Long sana.
 
Umenikumbusha enzi hizo ikicheza Loha,Kasampaida karne walek,Disco dancer au Tarzan boy, lazima nitoroke shule nikafagie ukumbi na kupanga viti ili nipate siti ya bure!

Dah! Ebwana mkuu wewe ni kama mimi, dah! Tumetoka mbali Aiseee!
 
Kwa mimi sema za ukweli
Nilikuaga tu home tunakodishaga Mikanda video.
Ila nakumbuka
: king Solomon
: Tarzan
:Indian John's (if not mistaken )
: checknolis
:the karate kid
: sarafina, James bond,
Nanyinginezo nimesahau majina.
Kuna watoto saba mmoja ni bonge sana.sijui ndo hiyo luck 7. Bila kumsahau mvunjambavu
MR. Bean( mkono wake ulinasa kule Kwa kunyea kuku).
 
King solomon mines, kuna mtu anaitwa umbopa
 
Amitha Bachan
Mithun cHakrboyt
Govinda ( kubwa lao la maadui Mzee Ashant (Shakt Kapoor)patamu hapo!)
Sunjey Duty
Sun Deo
Vijay

Bluce Lee
Van Damme ( kubwa la maadui Boro Yeung)
Cynthia Khan
Cynthia Rothrock (Chin)
Don Yen

Commando Kipensi
Rambo
Commando John ( adui Wavetnam)
No retreat no surrender
Michael Dudkof
Dolph Lundgran
The hard way
 
Hapo kwa mithun umenikumbusha mbali hilo jina ingawa picha yake siikumbuki.
 
Back
Top Bottom