Kwa wale wa diploma kazi ni kwako

Maige Maro

Member
Aug 2, 2012
15
1
MAELEKEZO MUHIMU:
S/N JINA JINSI
NAMBA YA
MTIHANI TAHASUSI SHULE ALIYOSOMA ANUANI
CHUO
ALIKOPANGWA
1 Â ATHANAZI LUCAS MSILINGWAÂ ME S2213/0505 HK USEVYA BOX 113 SUMBAWANGA SONGEA
2 AARON JOHN ME P0798/0585 HK KOROGWE TEACHERS COLLEGE CENTRE BOX 6351 DSM SONGEA
3 ABACE BUHIRI ME P0546/0522 HG PAMBA (I A E) CENTRE BOX 203 NGARA BUNDA
4 ABAKUKI S MGATA ME S0413/0501 BA KIBITI BOX 64 MAKAMBAKO MONDULI
5 ABASI A TWALIB ME S0784/0540 CM AIRWING BOX 18111 DSM TUKUYU
6 ABASI BASINDA KASISI ME S0936/0527 CB KALIUA BOX 35 TABORA MONDULI
7 ABASI HAMISI MUNYAWI ME S0334/0501 HK MWENGE BOX 195 SINGIDA MPWAPWA
8 ABDALA RAMADHANI ME S0496/0628 KE JITEGEMEE BOX 2221 TANGA KOROGWE
9 ABDALA MPINGA HAMISI ME S0150/0501 CB SAME BOX 1331 MOROGORO TUKUYU
10 ABDALAH AMOS ME S0153/0636 PC SONGEA BOYS BOX 23 KAHAMA MONDULI
11 ABDALAH S NGATAWA ME S0324/0592 HG LINDI BOX 7 LIWALE MTWARA(K)
12 ABDALAH Y HUSENI ME S0516/0567 GK MOMBO BOX 131 LUSHOTO DAKAWA
13 ABDALLAH HENRY ME P0620/0633 KE TEGETA CENTRE BOX 9121 DSM DAKAWA
14 ABDALLAH IDDI ME S0324/0580 HK LINDI BOX 29 DSM MOROGORO
15 ABDALLAH MBWANA ME P0156/0543 CM TANGA TECH. CENTRE BOX 29 TANGA MPWAPWA
16 ABDALLAH MUSSA ME S0448/0502 PM SADANI Â BOX 679 GONJA SONGEA
17 ABDALLAH NYINGA ME P0112/0598 KE IYUNGA CENTRE BOX 96 MANGULA MARANGU
18 ABDALLAH RASHIDI ME S0133/0501 GM MINAKI BOX 55910 DSM TUKUYU
19 ABDALLAH SHABAN ME S0158/0897 CM TOSAMAGANGA BOX 2291 MOROGORO TUKUYU
WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MWAKA 2013/2014
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa masomo 2013/2014 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa tarehe
15/08/2013. Fomu ya maelekezo (joining instruction) itatumwa kwa mhusika kupitia anuani yake. Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye tovuti hii kwa
kubofya katika Chuo husika.
Wanafunzi wanatakiwa kufika Vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania kidato cha NNE na SITA kulingana na kozi husika;
2. Ada ya muhula wa kwanza sh.100,000/= au ya mwaka sh. 200,000/=;
3. Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya Chuo husika; na
4. Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi.
Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na SI vinginevyo.
Usajili wa waliochaguliwa kujiunga na Vyuo utafungwa tarehe 25/08/2013 saa 12.00 jioni.
Page 1 of 189
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom