KWA WALE WA CHINESE DRAMAS

Grau

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
3,249
2,000
Mimi kunaseries ambazo naziona kali na hamna zingne zaidi ya hizi, kama unazo we leta
God of war
Vengeance 1&2
Field knife
Aisee hivi vitu nivikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,141
2,000
Ndio nn jaman, mimi kwetu Nachingwea, nimekuja kwa lori la Dangote hapa daslam

aeiou
 

Vi rendra

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
3,078
2,000
Before nilikua napenda korean.
Ila tangu mwaka uanze nmeangalia chinese drama zisizo na idadi
Sikumbuki kabisa story za korea
 

Muzine

JF-Expert Member
May 4, 2017
32,417
2,000
Mm nazipenda Chinese drama wana vichekesho sana kwa kweli yan unakuwa happy muda wote tafuta my emperor hutojutaa
Before nilikua napenda korean.
Ila tangu mwaka uanze nmeangalia chinese drama zisizo na idadi
Sikumbuki kabisa story za korea
 

Vi rendra

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
3,078
2,000
Mm nazipenda Chinese drama wana vichekesho sana kwa kweli yan unakuwa happy muda wote tafuta my emperor hutojutaa
Ndio nataka kuiangalia "ooh my emperor"
Ila mm napenda zile za Wuxia/Action/Tomb Raiding
Mfano : legend of the condor heroes ya 2017 (ols beggar wugong)
Three kingdoms
Lost love in times
Kings woman
Princess wei young
Mystic nine (zhang da fo ye)
The guardian
Secret of the three kingdom

Now naangalia "Untamed" ambayo bado haijaisha
Wachina drama zao za custom zimejaa SECT utaskia quanzen 7 sect/beggars sect sasa ole umuue shifu wao beef tayari...
Madirector wao wako makini sana kwenye action wanaweza kukutengenezea move kali mpaka unatabasamu pekeyako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom