Kwa wale vijana wa enzi zile mliolowea Ughaibuni

Yaani unachagua ramani na unaanza kutuma kiasi chochote hata ikuchukue 3 years
Ni wewe na bidii yako tu
Habari ya kujenga nyumbani watu walilizwa sana. Sister wangu aliamua aweke pesa yake miaka miwili anachukua likizo miezi mitatu kazini mwezi mmoja analipwa miwili bila malipo anasimamia nyumba yake pesa zikiisha anaondoka
 
Du wenyewe wakishafagia Mc Donald weekend ni mwendo wa Jack Daniel na Stella Artois leo umwambie kutekwa!
Nimecheka eti Jack Daniels na Stella Artois
Mate mbeba box sasa hivi ana thamani kubwa sana bongo kuliko miaka ya nyuma
Uzuri wa kubeba box una uhakika wa pension yako for the rest of your life kulinganisha na daktari bingwa wa Muhimbili Medical Center.
Wabeba box watarudi kuijenga Tz.
Viwanja viwapi mate nijisogeze
** Ushauri murua
Asanti sana!
 
Mate miaka 30-40 uwe hujakanyaga bongo, siku za kwanza utawaza uishi maisha uliyoyazoea. Kuanza kutumia squating toilets miguu inakataa ku squat .

Ni kheri uandae mazingira mapema mate.
 
The matter of fact huu ndio wakati wa kuihama Tanzania kuliko wakati mwingine wowote ule.

Kama nyumba ninazo, mkweche wa misele ninao, lakini natambuwa vema value ya binadamu anastahili kuishi vipi

Bahati nzuri nina uzoefu na pande zote, nayajuwa maisha ya pande zote, hakuna kanuni kwamba ni lazima wote tuishi Bongo, tena unaweza ukawa una nyumba ushenzini ukauza na kuishia zako.
 
Mkuu kuishi kwenye old people home uzeeni wakati huo dementia imekukamata Kiingerea umesahau unakumbuka Kiswahili tu.
 
Na ukiishiwa ya kununulia hiyo kangara unabakia kutia huruma na kusubiri wengine wanunue ugongee, muda huo story kibao, mitaa yote ya LA, Chicaggo, Minessotta nk nk unaielezea, maisha bhana ukiyakosea yanakuchapa vibaya.

Umenikumbusha baba yake rafiki yangu mmoja hivi,mzee ana story za ughaibuni lakini hana shilingi mfukoni.
 
Mkuu kuishi kwenye old people home uzeeni wakati huo dementia imekukamata Kiingerea umesahau unakumbuka Kiswahili tu.
Tanzania ya leo itakuwa na vijana wengi kuliko wazee nadhani haujafanya research yako vizuri, wastaafu wote wataostaafu kipindi hiki hawawezi kuishi zaidi ya miaka mitano.

Kama umeishi mamtoni nadhani umejionea idadi kubwa ya vikongwe lakini Bongo opportunity hiyo ya kufika uzeeni haipo, usihofie kitu ambacho kamwe huwezi kukifikia hili nakuhakikishia.
 
Ni shida kweli hasa kwa wanaume walioolewa na wazungu, kuna baba mmoja shemeji wa Shoga yangu aliolewa na mzungu, mtoto wake wa kiume yupo huku hata matumizi hakuna Siku moja alipata ajali ya pikipiki, tuko hospital, Shoga yangu kamjulisha kwa wasap atume hata pesa, alifunga wasap miezi miwili loh.

Pole kaka zetu walioolewa najua mnataka ujiko tuone MNA ngozi nyeupe mtese mkija bongo, ila mwanaume wa kweli aolewi. Na msibishe ndoa ya mzungu na mwafrica Siku zote sio ndoa, nafuu IPO kwa wadada wa kiafrica walioolewa kwa wazungu ila wanaume ni mateso.
 
Inategemea mwanaume anajiamini vipi na anataka nini kwa mwanamke. Hasa wakijionyesha kuwa wako disparate kutaka vibali.

Kuna mama mmoja mzungu Dr wa PhD aliajiriwa na WHO. Alimpenda kijana simple tu wa mtaani lakini alikuwa handsome kweli anaaitwa Omary. Omary aliishia STD 7 wala hakuwa na ndoto za kwenda Ulaya.

Alimwambia mwanamke abadili dini waozwe kwa ubani mama alikataa lakini alikubali watoto wawe waislam. Walijenga ghorofa na Omary alinnunuliwa semi treller tatu ajiongeze kibiashara.

Omary aliharibu tu baada ya kupata hela alipata wasichana wengi sana mama aligundua.
 
Back
Top Bottom