Kwa wale vijana wa enzi zile mliolowea Ughaibuni

Nami nina ushahidi weekend hii tulikuwa na mdada mmoja maeneo tunagonga vyombo, baada ya salio mezani kuanza kulegalega yule dada akaanza kumtengeneza jamaa yake yupo mamtoni kwenye hizo wasapu amtumie hela tuendelee kugonga vyombo.

Kwahiyo mtu akiamuwa kufunga vioo siyo kwamba hana pesa, bali wanawake wa kibongo mnawageuza watoto vitega uchumi, ukikutana na kauzu unafungiwa vioo tu.
Hii story ni tofauti hiyo mtoto hana mama, ndo.maana Shoga yangu anamlea na kumlipia ada sema tu wakati huo hakuwa na pesa ya kutosha ikabidi amjulishe baba kuwa muelewa.mtoto alifanyiwa operation tatu unafikiri wa nafanya bure acheni kutetea msoyajua.
 
Back
Top Bottom