Kwa wale tunaokata maji ni mkasa gani umewai kukukuta ujiona bora uachane na ulevi

osama BLD

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
561
294
Mimi siku ya pasaka washikaji zangu nimetinga nikapi gari sikushuka nimeshituka sa2 asubuhi get liko wazi alafu sina shirt na kwenye shirt nilikuwa na dolla 500 huo ndo mkasa wa nitasimilia wanangu uzeni
 
kuna siku nilikunywa niko kunduchi mpaka natoka na gari kufika nyumbani mabibo sikujua nilifikaje wala nilipita barabara gani wakati naendesha peke yangu..huwa najiuliza sana mpaka sasa
 
Mimi siku ya pasaka washikaji zangu nimetinga nikapi gari sikushuka nimeshituka sa2 asubuhi get liko wazi alafu sina shirt na kwenye shirt nilikuwa na dolla 500 huo ndo mkasa wa nitasimilia wanangu uzeni
Walevi tunaandika vizuri mkuu na ni
 
Nilikunywa maji Lita 10, nienda haja mara nyingi sana mpaka nikatamani niache kabisa kinywaji hiki.
 
nakumbuka ilikuwa mwaka 2006,nilikuwa sehemu flani huku kwetu tunakunywa na mchepuko wangu na ilikuwa imefika mida ya kwenda kulala tukiwa tumelewa sana,sasa ule mchepuko ukaniambia kwanini tusiende kulala kwangu tu usipoteze pesa wakati nina room na nipo free we twende! Kutokana na kuwa nilikuwa nimepiga pombe mingi nilikubali kwenda kulala kwake,Nilipofika tukaanza kuvunja amri ya sita na baada ya hapo tukalala baada ya saa hii nikasikia mlango unagongwa Dina Dina Dina fungua!!!! jamaa kaendelea kusumbua na nilipomuona Dina kama kachanganyikiwa hivi bila kupoteza muda nilivaa haraka haraka ile pombe ilikata kabisa, ile Dina anafungua tu nilipita kwa nguvu nikamgonga jamaa akaanguka huko nami nikapata chansi ya kukimbia nakumbuka sijawahi kukimbia spidi hiyo toka nizaliwe Ila nilikuwa Nina pesa Tshs Laki 5 na elfu 60 nilijikuta nina shs 7000= shilingi elfu saba tu.ila nilijifunza kuanzia siku hiyo sijawahi kulala kwa michepuko wala mwanamke yoyote hawezi na siwezi kushawishika kulala kwake!!!
 
Back
Top Bottom