Kwa wale tunaoendelea kusubiria malipo ya malimbikizo

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,325
6,848
Kwa wale ambao bado tunaendelea kusubiria malipo ya malimbikizo, tafadhali atakayepata anijulishe. Mimi bado sijapata. SMS notification nimepata jana hakuwa na kitu chochote.

MUBARIKIWE TENA NA BWANA
 
Kwa wale ambao bado tunaendelea kusubiria malipo ya malimbikizo, tafadhali atakayepata anijulishe. Mimi bado sijapata. SMS notification nimepata jana hakuwa na kitu chochote
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Tunakusanya TOZO,tukikamilisha tutawarudia
 
Tunakusanya TOZO,tukikamilisha tutawarudia
Hilo ni wazo bora kabisa kuwahi kutokea, Mungu aendelee kuwabariki sana. Mpaka muda huu, tuna vituo vya afya vipya 92 kutokana na tozo hizo, kwa mujibu wa Waziri wa TAMISEMI.

Binafsi nafurahi sana kwamba tozo zinakusanywa halafu wenye pesa tunapewa feedback. Yaani mtu kabisa unapata ile sense kwamba Serikali inawajibika kwa wanachi. Mungu awabariki sana
 
Back
Top Bottom