Kwa wale tuliosoma Moshi Technical tukumbushane hekaheka za pale

TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,616
1,167
Nawaaalika wale wote Moshi Tech alumins tukumbushane maisha yale. Mfano:

-kwenda orchard
-kula bisi
-comedy za mapacha, Munuo & Bob Senge
-kula vimbuzi
-kupiga pozo

n.k
Mimi nilikaa Mkwawa 25.

Nawakilisha.
 
mimi nilikuwa LUMUMBA karibu na DANIDA , nakumbuka mchaa mchaka asubuhi na mapema. kunywa maji bila kuchemsha.......mwalimu machachari MR> MPANDE na NKYA
 
mchaka machaka naskia ulishwafutwa long tym, na ilikua kero sana.nakumbuka walipenda kumtania MWL MPANDE pale anapointroduce somo lake la painting eti 'I will teach in kiswahili but my notes will be presented in english' hahahahaaaaaaa! Eti alikua hajui kingereza!!!!!!!!!!
 
Kupitia post yako nimekua impressed kukumbuka nami jamaa zangu niliokuwa nao Kahororo Sec enzi hizo, kuna mambo kadhaa:-
. Jangili road
. Kalege- uji usiokuwa na sukari
. Enshyobo- kijiko
. Mr power-mpishi wa shule
. Enkura-mwl wa Biology
Bila kuwasahau walimu machachari
Km vile Kitanta-geography, Khoikhoi-history, Agricola-physics, Mpinzile na Etibaba-chemistry, wakati huo nikiwa Azimio room no 41.
 
Mademu zetu mafundi jamani ahahaha...
Kwa mliokuwa mnamjua "Uniform Gear", mshkaji katutoka majuzi, aligongwa na gari. R.I.P
 
uko wapi omari na daudi wa tanga tech na f4 wote wa mwaka 1997 sintasahau kwa njeka uwanja wa mkwakwani hehe mkwakwani ya tanga tech sintosahau tulivyoshikwa na mwalimu wa nidhamu lkn alitusamehe kwakuwa tulienda nje usiku kwa ajili ya kujisomea kwanishuleni kulikuwa hakuna umeme uko wapi mwana fa naona ulikimbia fani ya mechanical wako wapi form one E wa 1994 nawakumbukeni sana tuwasiliane hata kwa mail
 
Nawaaalika wale wote Moshi Tech alumins tukumbushane maisha yale. Mfano:

-kwenda orchard
-kula bisi
-comedy za mapacha, Munuo & Bob Senge
-kula vimbuzi
-kupiga pozo

n.k
Mimi nilikaa Mkwawa 25.

Nawakilisha.

Hata mimi niliishi hapo mkuu..
Mambo ya kuchemsha mahindi juu ya dari, upo?
Ishu za Braza Mpande na kelele zake za mchaka mchaka.. na kiingereza chake "Mama Love is Iron Bwana"
Namkumbuka Msela wa Brick work/Block work Massawe na vimbwanga vyake..
Mzee wa Baiskeli Koba, alikuwa anapenda kweli kupiga kilaji..
Mzee wa Masmash Nkya, ile jamaa nilikuwa naikwepa kweli nisiingie anga zake..
Nakumbuka mambo ya Mipachuo..

Dah, those days.......
 
Duh! umenikumbusha Koba! Enzi zile katoka Mkwawa karibuni ndo kaanza kufundisha Engineering Science, jamaa alikuwa mnoko! Ila somo lake nilikuwa nampata kinoma.
Mamaa Zera Msuya....kati ya waalimu kipenzi ni huyo....alikuwa class ticha wngu tangu two 6 mpaka Four 6....tulikuwa tunamlimia na kuvuna shamba lake kila mwaka. Alikuwa akifundisha Chemistry mpaka inaniingia kwenye mifupa...national ya chemistry nilitumia mda kidogo sana...hakukua na kazi! Pia namkumbuka kwa kunioka mara nyingi mdomoni mwa "wolf"...mwalimu Munuo....akinifuata class ili anipe super six zangu(maana dose ile niliizoea) akimkuta yule mama Msuya...ooh harushusiwi kunitoa...baada ya hapo natoka na mama naishia orchardddddddddd....
Kuna siku nilikimbizwa na Bob Senge wakati natoka kununua vimbuzi kambini...acha kabisa...mzee yule msanii.....ananiimbia...kijana nilisha kukamataaa...ww wala usijisumbue...wakati hata kunikaribia bado! Funny man!
 
Nilikuwa naishi Karume Dom 36.
Mpande anasema mwanangu ukichambia majani ya mgomba unajipakaa mavi teh teh teh
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom