KWA WALE TULIOOMBA NAFASI TPA KUPITIA UTUMISHI

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
Hongera kwa walioitwa interview leo, ila mbona kuna kada zingine hawajatoa majina kama FIRE & SAFETY OFFICER, na zinginezo?
Au walitoa alafu hatujayaona?
 
Interview ya utumishi n nzuri sana mkuu; kwanza maswali ya kwenye vitini madesa boy/girl wanatamba tu hapo; pili kama haijatangazwa relax watatoa tena majina
Wale tuliofanya procurement tujuane mapema
 
Na wale walio apply hawakuitwa wajuane pia mkuu.
 
Interview ya utumishi n nzuri sana mkuu; kwanza maswali ya kwenye vitini madesa boy/girl wanatamba tu hapo; pili kama haijatangazwa relax watatoa tena majina
Wale tuliofanya procurement tujuane mapema
Aisee kuna interview niliitwa kuingia maswali yote ya madesa afu nilikua sijapitia maana muda umepita,
Kibaya zaidi nilijua watauliza uelewa tuu wa kazi,
Nilikosa kazi kizembe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Interview ya utumishi n nzuri sana mkuu; kwanza maswali ya kwenye vitini madesa boy/girl wanatamba tu hapo; pili kama haijatangazwa relax watatoa tena majina
Wale tuliofanya procurement tujuane mapema[/QUO
Naomba mwenye hilo desa a nisaidie nitumie inbox ndugu yangu nakuomba saana
 
Back
Top Bottom