real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,287
Mimi nimekuelewa sana, ila labda wewe hujanielewa1. Hawa develop feature inayoondoa udhaifu wao "from nowhere", nimeelezea vizuri hapo juu natural selection, hii ni process inayotumia mamia ya mamilioni mpaka mabilioni ya miaka kwa viumbe vikubwa mara nyingine.
Wwale ambao wana natural advantage huwa outnumber wasio na natural advantage kizazikwa kizazi, mpakawasio na natural advantage wanapotea kabisa wanabaki wenye natural advantage tu.
Lets say kunaugonjwa unaosababishwa na mdudu X, halafu kuna population ya watu 1000.
Katika hao watu 1000, watu wenye natural resistance ya ugonjwa huu ni 200 tu, 800 hawana resistance.
Kikawaida, kamahakuna ugonjwa,wengi wataendelea kuzidi na wachache watapungua, kutokana na genetics being passed down.
Lakini katikahalihii, wale 800 watafariki disproportionately - other factors being equal- kwa sababu wao wako exposed na ugonjwa huu, wale 200 hawatakufa kabisa kwa ugonjwa huu.
Kwa sababu wale wasio na natural advantage watakufa, na wale walio na natural advantage watabaki, basi ukifuatilia baada ya vizazi vingi,utakuta wale wasio na natural advantage wametoweka kabisa wamebaki wale wenye natural advantage tu.
Sijui kama umeelewa hilo.
Labda nijaribu kuelezea tena
Ni kwa mfano labda hii dunia labda ilikuwa na viumbe vya aina moja vinavyoishi ardhini, then kukatokea majanga ya kiasili pengine ,ardhi ikawa sio habitable tena, ila angani tu na majini tu....so hao viumbe watajipaje mbawa za kupaa na matamvua ya kupumua majini ambayo hawana ili wa survive?
Au mabadiliko yakiwa ya ghafla sana wanakufa wote badala ya ku evolute?