Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,228
- 6,398
Si kwamba wanaishi bila hofu,ila ni kiburi tu walichonacho ndiyo kinaficha hofu zao ila hofu wanazo. Hakuna mwenye kupinga uwepo wa Mungu kisha nafsi yake ikawa ina utulivu,ukichunguza baadhi ya hoja zao utagundua hofu zao.Napata hisia kuwa baadi yetu wamkufuru mungu. Lkn jinsi wanakazia hoja zao, loooh!! Napata kujifunza zaidi. Yaani km mtu hana hofu ya mungu anaishije!!!